HABARI KUBWA

ZAIDI YA TZS MILIONI 50 ZAMTUA MAMA NDOO KICHWANI

Na Beatus Maganja



Mradi wa maji safi wenye thamani ya zaidi ya shilingi millioni 50 uliofadhiliwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Nchini – TAWA  Katika Kijiji cha Nkonko kilichopo Kata ya Nkonko wilayani Manyoni mkoa wa Singida unatajwa kuondoa adha ya upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama kwa wakazi wa Kijiji hicho hususani wanafunzi wa shule ya sekondari Nkonko.

Mradi huo uliotekelezwa na TAWA kwa fedha za ndani na kuzinduliwa na Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya TAWA Mej. Jen. (Mstaafu) Hamis Semfuko Julai 05, 2023 umekuwa na manufaa makubwa Kwa wakazi wa Nkonko

Hayo yamebainishwa na Kamanda wa Pori la Akiba Kizigo Ogossy Gasaya akiongea na.

Tangaza hapa-3
Email
Twitter
META
WhatsApp

ZAIDI YA TZS MILIONI 50 ZAMTUA MAMA NDOO KICHWANI

Na Beatus Maganja Mradi wa maji safi wenye thamani ya zaidi ya shilingi millioni 50 uliofadhiliwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Nchini – TAWA  Katika Kijiji cha Nkonko kilichopo Kata ya Nkonko wilayani Manyoni mkoa wa Singida unatajwa kuondoa adha ya upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama

WAZIRI MKUU: TUNATAKA KILA MWANANCHI APATE KITAMBULISHO CHA TAIFA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema mkakati wa Serikali ni kumwezesha kila Mtanzania apate kitambulisho cha Taifa akiwa kijijini kwake. Amesema hayo leo (Alhamisi, Mei 11, 2023) bungeni wakati akijibu swali la Mbunge wa Biharamulo Magharibi, Mhandisi Ezra Chiwelesa kwenye kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu.  Mbunge

KITAIFA

DKT BITEKO AWASILI MBEYA KWA ZIARA YA KIKAZI

MBEYA *Aeleza jitihada za Serikali kupunguza changamoto ya umeme* *Aipongeza Mbeya kwa utekelezaji miradi ya maendeleo* *Asisitiza siasa zisiwagaweย  wananchi* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt.Doto Biteko, leo amewasili mkoani Mbeya kwaย  ziara

KITAIFA

VYAMA VYA SIASA 18 VYAOMBA USAJILI

MSAJILI wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi amesema vyama vipya vya siasa 18 vimeomba usajili ambapo utaanza kutekelezwa baada ya kuhitimishwa zoezi la uhakiki wa vyama vilivyopo. Akizungumza Jijini Dar es Salaam katika mkutano wa