207 views 18 secs 0 comments

MASHINDANO YA KUFUZU KOMBE LA DUNIA LA KLIKETI BARANI AFRICA-TANZANIA WENYEJI.

In BURUDANI
July 24, 2023

Chama cha Kriketi Tanzania (TCA) kimetunukiwa haki ya kuwa mwenyeji wa mashindano ya ICCU 19Mens World Cup 2024 Africa ya ICC U19 Men’s World Cup Africa Division 1 Qualifier Qualifying Mashindano  ya kufuzu yameanza rasmi  Tarehe 23 July -29, 2023 katika Viwanhja Viwili Jijini  Dar es Esalaam Dar es Esalaam Tanzania.Viwanja hivyo nipamoja na Gymkhana Pamoja Kiwanja cha Chuo Kikuu cha Dar es Esalaam  (UDSM).

Timu ya taifa ya Tanzania imecheza na Vijana wat imu ya taifa ya Kenya, wachezaji wote ni vijana chini ya umri wa miaka 19.

Tanzania imecheza na Kenya mchezo ukihairishwa kutokana na mvua kubwa katika viwanja vya chuokikuu cha mlimani (UDSM)Upande wa pili Namibia akikutana na mbabe Mwenza Uganda katika Viwanja vya Gymkhana .

 Nchi zinazoshiriki mashindano haya ni  Namibia, Nigeria, Sierra Leon, Tanzani Pamoja  na Uganda. Nchi zote sita (6) zinachuana kuwania nafasi ya pekee ya kufuzu katika tukio kuu la Kombe la Dunia nchini Sri Lanka mwaka 2024.

Editor / Published posts: 21

Journalist

Twitter
Facebook
Youtube
Linkedin
Instagram