302 views 2 secs 0 comments

TORY LANEZ AHUKUMIWA MIAKA 10 JELA.

In BURUDANI, KIMATAIFA
August 09, 2023

Tory Lanez ahukumiwa kwenda Jela miaka 10 kwa kosa la kumpiga risasi aliekua mpenzi wake Meghan Thee Stalllion katika tukio la miaka mitatu 3 iliopita .

Jaji wa Mahakama ya Juu ya Los Angeles, David Herriford, alitoa hukumu hiyo kwa Lanez mwenye umri wa miaka 31, Tory amepatikana na hatia kwa makosa yote matatu tangu mwezi Dec mwaka Jana yaliomkabili na alioomba mahakama impunguzie adhabu kwa kua yeye ni baba na familia inamtegemea.

Tukio hilo lilitokea mwaka 2020 baada ya mgogoro uliohusisha mapenzi baina ya wawili hao kwenye gari na kudaiwa kumpiga risasi Meghan iliomjeruhi mguuni.


Tory Labez ni moja ya wasanii waliofanya vzuri Marekani na Duniani sana kutoka nchini Canada na sasa atakaa jela kwa miaka 10 na hii ni Mara baada ya kupunguzwa toka adhabu ya miaka 22 jela.

Editor / Published posts: 21

Journalist

Twitter
Facebook
Youtube
Linkedin
Instagram