Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA
Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) wamekutana na waandishi wa habari wa mtandaoni katika Semina waliyoiandaa kwa kushirikiana na Jukwaa la Wanahabari wa mtandaoni (JUMIKITA) leo Mei 29 ,2024, Imefanyika katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es salaam
” TRA ni Taasisi ya kwanza kugundua nguvu ya Digital Platform, Nyie mnajua ni jinsi gani mnapata tabu kupata taarifa ikitokea mtu amewatambua ni lazima tumpongeze,Digitali Platform haikwepeki,Mkurugenzi nikupongeze ”