217 views 20 secs 0 comments

MPANGO AJA NA SGR KUJA KUANGALIA MABINGWA WA NCHI YANGA

In MICHEZO
August 04, 2024

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA

Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango na Mwenza wake Mama Mbonimpaye Mpango leo tarehe 04 Agosti 2024 wakisafiri kutoka Dodoma kuelekea Dar es salaam kwa kutumia Usafiri wa Treni ya Kisasa ya Umeme inayotumia Reli ya Kisasa (SGR).

Makamu wa Rais amesafiri kuelekea Jijini Dar es Salaam ambapo anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Tamasha la Klabu ya Yanga la kilele cha Wiki ya Mwananchi litakalofanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango na Mwenza wake Mama Mbonimpaye Mpango wakiwasili katika Stesheni ya Treni ya Jijini Dar es Salaam mara baada ya kusafiri kutoka Dodoma kuelekea Dar es salaam kwa kutumia Usafiri wa Treni ya Kisasa ya Umeme inayotumia Reli ya Kisasa (SGR). Tarehe 04 Agosti 2024.

Makamu wa Rais amesafiri kuelekea Jijini Dar es Salaam ambapo anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Tamasha la Klabu ya Yanga la kilele cha Wiki ya Mwananchi litakalofanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.
/ Published posts: 1435

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram