95 views 36 secs 0 comments

DKT BITEKO ASHIRIKI KONGAMANO LA NISHATI SAFI YA KUPIKIA ZANZIBAR

In KITAIFA
August 23, 2024

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ZANZIBAR



Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe Dkt. Doto leo Agosti 23, 2024 anashiriki Kongamano la Nishati Safi ya Kupikia linalofanyika katika Hoteli ya Kwanza, Kizimkazi-Zanzibar.

Kabla ya kushiriki Kongamano hilo, Dkt.Biteko alitembelea Mabanda ya Maonesho ya Wadau wa Sekta ya Nishati Safi ya Kupikia ambao wanatoa elimu ya matumizi ya nishati hiyo na  teknolojia zake.

Kaulimbiu “Upishi Salama kwa Afya ya Mpishi na kwa Maendeleo ya Jamii”

/ Published posts: 1440

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram