123 views 32 secs 0 comments

RAIS SAMIA AMETOA KIASI CHA MILION 30KWA AJILI YA TIMU YA TAIFA YA WASICHANA ‘SERENGERI GIRLS ‘

In MICHEZO
September 11, 2024

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Samia Suluhu Hassan ametoa kiasi cha Million 30 ajili ya timu taifa ya wasichana ‘Serengeti Girls’, ubingwa wa UNAF U-17 zilizofanyika Tunisia 2024.

Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt.Damas Ndumbaro akiwakabidhi fedha hizo wachezaji hao kwenye makao makuu ya Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) ikiwa ni zawadi wa timu hiyo.

/ Published posts: 1414

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram