95 views 47 secs 0 comments

RAIS SAMIA AKITETA NA VIONGOZI WA JESHI LA POLISI

In KITAIFA
September 21, 2024

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA

Rais Dkt. Samia akiwa kwenye mazungumzo na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP)Camillus Wambura pamoja na Makamishna wa Jeshi hilo yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaa jana


Rais Samia ateta na vigogo Jeshi la Polisi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, jana amefanya mazungumzo na viongozi wa juu wa Jeshi la Polisi, wakiongozwa na IGP Camillius Wambura.


Kikao hicho kimefanyiia ikiwa ni siku chache baada ya kufanyika maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania, yaliyofanyika katika Viwanja vya Chuo Cha Polisi, Moshi, mkoani Kilimanjaro.

/ Published posts: 1440

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram