151 views 55 secs 0 comments

UTATUZI WA MGOGORO WA MAENEO YA KIUTAWALA BAINA YA KING’AZI A (UBUNGO) NA KISOPWA (KISARAWE)

In KITAIFA
September 24, 2024

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA



Waheshimiwa wakuu wa wilaya ya Ubungo na kisarawe sambamba na Kamati za Usalama (W) Maafisa Aridhi, Wakurugenzi, Makatibu Tawala na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi pamoja na wenyeviti wa serikali za mitaa na watendaji wa Mitaa na Kata wamekutana na Kutafsiri GN inayoeleza maeneo ya mipaka na kiutawala kwa wilaya za Ubungo na Kisarawe

Aidha waheshimwa Ma DC waliongoza timu hizo kumaliza Migogoro Iliyodumu kwa Miaka zaidi ya 10

Wakiuzungumza na wananchi Ma DC Bomboko wa Ubungo na DC Magoti wa Kisarawe wametoa Rai kwa umma kuacha kuendeleza Migogoro ya Aridhi na Mipaka baina ya pande hizo na badala yale wajiandae kushiriki Uchaguzi wa Serikali za mitaa Kikamilifu

Kazi Inaendelea

/ Published posts: 1525

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram