136 views 31 secs 0 comments

GST QUEENS YAIBUKA MSHINDI DHIDI YA VETA

In MICHEZO
September 27, 2024

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA

Timu ya Mpira wa Pete (Netball) ya Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) maarufu kama GST Queens imeibuka Mshindi dhidi ya Timu ya Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) katika mechi ya kirafiki.

Mtanange huo umefanyika leo Septemba 26, 2024 katika viwanja vya Kilimani vilivyopo Uzunguni Jijini Dodoma ambapo GST Queens imeshinda magoli 29 kwa 22.

/ Published posts: 1525

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram