71 views 41 secs 0 comments

SAMIA NA KITAA-SERIKALI ZA MITAA,SAUTI YA WANANCHI TUJITOKEZE KUSHIRIKI UCHAGUZI

In KITAIFA
October 13, 2024

Na Mwandishi Wetu

Mkuu wa Wilaya ya ubungo Hassan bomboko ameendelea kuwahamasisha wananchi kujitokeza na kujiandikisha Katika Daftari la mkaazi Ili KUSHIRIKI uchaguzi na kumchagua viongozi wa serikali ya mtaa

Amesema wamepita Maskani na Vijiwe vyote vya kata ya manzese kuhamasisha wananchi Kuitikia wito wa kujiandikisha

“Ni wajibu wa kila Mwananchi wa Ubungo Kujitokeza na Kushiriki Uchaguzi, Natoa Rai kwa wakazi wote wa Mitaa ya Ubungo kutimiza Haki na wajibu wao wa Kisheria wa Kushiriki kikamilifu Uchaguzi wa Serikali za Mitaaa” Amesema bomboko

/ Published posts: 1525

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram