104 views 34 secs 0 comments

FREDY MUIGIZAJI WA TAMTHILIA MZANI WA MAPENZI AFARIKI DUNIA

In BURUDANI
November 16, 2024

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA

Dar es salaam.

Muigizaji wa tamthilia na Filamu Nchini, Fredy Kiluswa amefariki Dunia.
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa baadhi ya wasanii wakiwemo @jb_jerusalemfilms na Steve Mengele almaarufu Steve Nyerere.

Fredy ametamba na filamu na tamthilia mbalimbali ikiwemo tamthilia ya Mzani wa Mapenzi inayoonyeshwa katika channel ya Sinema Zetu ya Azam TV.

Endelea Kufuatilia kurasa Zetu kwa Taarifa zaidi kuhusu msiba wa Fredy zitakujia

/ Published posts: 1525

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram