22 views 44 secs 0 comments

NIMEPIGA KURA; NIMETIMIZA HAKI YANGU YA KIKATIBA- MHE.KAPINGA

In KITAIFA
November 27, 2024

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA

Aungana na Wananchi kuchagua Viongozi Kitongoji cha Mheza*

Ahimiza Watanzania kuendelea kujitokeza kupiga kura*

Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga leo ameshiriki zoezi la kupiga
kura katika Kitongoji cha Mheza kijiji cha Mkumbi Halmashauri ya Mbinga Vijijini ili kuchagua viongozi wa eneo husika.

Kapinga ameeleza kuwa, kwa kufanya hivyo ametimiza haki yake ya kikatiba na kutoa wito kwa Watanzania wote kuitumia haki hiyo kikamilifu.

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni miongoni mwa mihimili muhimu ya Demokrasia inayowezesha ushiriki wa wananchi katika uongozi wa maeneo yao.

/ Published posts: 1525

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram