26 views 19 secs 0 comments

RAIS SAMIA APIGA KURA KITONGOJI CHA SOKOINE CHAMWINO

In KITAIFA
November 27, 2024

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga kura kwa ajili ya kuchagua viongozi kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mtaa katika kitongoji cha Sokoine, Chamwino mkoani Dodoma tarehe 27 Novemba, 2024.

/ Published posts: 1525

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram