Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA
Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Wakili Stephen Byabato leo Tarehe 27 Novemba 2024 amepiga kura kuwachagua Viongozi wa Serikali za Mitaa katika kituo cha Chuo Huria Mtaa wa Migera – Nshambya Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera.