BIASHARA
March 14, 2025
24 views 3 mins 0

KAMATI YA BUNGE PIC: JENGO JIPYA WMA LITAONGEZA MORALI KUWAHUDUMIA WANANCHI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐ŸŸ  *Mwenyekiti Vuma ampongeza Rais, Serikali, Wizara na WMA* ๐ŸŸ  *Katibu Mkuu asema maono ya Rais Samia utoaji huduma bora kwa wananchi yatafikiwa* *Dodoma* Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), Mhe. Augustine Vuma amesema kukamilika kwa Jengo la Ofisi Kuu ya Wakala wa […]

BIASHARA
March 14, 2025
19 views 2 mins 0

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI YARIDHISHWA NA UJENZI WA JENGO LA OfISI YA MAKAO MAKUU JIJINI DODOMA: YAIPONGEZA TIRA NA MKANDARASI KWA KAZI NZURI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), *Mhe Naghenjwa Kaboyoka (Mb)* na wajumbe wa Kamati hiyo wameridhishwa na hatua ya mradi wa ujenzi wa jengo la Ofisi la Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) Makao Makuu linalojengwa Jijini Dodoma ambalo hadi sasa limefikia asilimia 85 […]

BIASHARA
March 09, 2025
29 views 2 mins 0

FCC YAANDAA SIKU YA MLAJI ITAKAYOFANYIKA MACHI 15

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Tume ya Ushindani Nchini (FCC) imezindua wiki ya Kitaifa ya siku ya kumlinda Mlaji Duniani ambayo hufanyika kila mwaka Marchi 15 ambapo katika wiki hiyo watajikita kutoa Elimu kwa Wananchi ili kuwa na uelewa kuhusu Haki za Mlaji na hivyo kushiriki kikamilifu katika kuchangia Maendeleo ya Taifa. Mkurugenzi Mkuu wa Tume […]

BIASHARA
March 07, 2025
45 views 5 mins 0

KAMPUNI YA MZURI NA AGRAMI YALETA MASHINE INAYOTUMIKA KURAHISISHA SHUGHULI ZA KILIMO

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kampuni ya Mzuri Afrika na Grami Afrika imeleta mashine ambayo inatumika katika kurahisisha shughuli za kilimo cha mazao ya nafaka,na kumsaidia mkulima kupata mazao mengi wakati wa mavuno. Mashine  hiyo imetengenezwa  nchini Poland kutoka Kampuni mama ya Mzuri World inayotengeneza teknolojia za kisasa za  kilimo,ambapo Mashine iliyoingizwa nchini Tanzania inauwezo mkubwa […]

BIASHARA, KITAIFA, video
March 07, 2025
39 views 3 mins 0

DKT.MWINYI AZIHAMASISHA NCHI ZA EAC KUANZISHA MIFUKO YA MAENDELEO YA PETROLI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐Ÿ“Œ *Asema lengo ni kuwa na uhakika wa kuendeleza Sekta ya Mafuta na Gesi Asilia* ๐Ÿ“Œ *Afunga Kongamano na Maonesho ya Petroli ya Afrika Mashariki* ๐Ÿ“Œ *Ataka Rasilimali na Mafuta na Gesi Asilia kuchangia maendeleo ya Sekta nyingine* Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi […]

BIASHARA
March 07, 2025
35 views 49 secs 0

PURA KUNADI VITALU 26 VYA UTAFUTAJI MAFUTA NA GESI ASILIA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imesema inatarajia kunadi vitalu 26 vya gesi asilia na mafuta kwa lengo la kuvutia wawekezaji ili kuchangia maendeleo na kukuza uchumi wa nchi kwa ujumla. Hayo yamebainishwa jijini Dar es Salaam Machi 5, 2025 na Mkurugenzi Mkuu wa PURA, Mhandisi Charles Sangweni […]

BIASHARA
March 06, 2025
59 views 17 secs 0

EWURA YAENDELEA KUWEKA MAZINGIRA RAFIKI KWA UWEKEZAJI WA CNG NCHINI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mkurugenzi wa Gesi Asilia wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA),ย  Mha. Poline Msuya, amesema EWURA inaendelea kuweka mazingira rafiki ya kuhamasisha uwekezaji katika mnyororo wa thamani wa biashara ya gesi asilia iliyogandamizwa (CNG) ikiwa ni hatua muhimu katika kusaidia juhudi za Serikali za kuchochea matumizi ya […]

BIASHARA
March 04, 2025
39 views 6 mins 0

SERIKALI YATOA LESENI KUBWA YA UCHIMBAJI MADINI YA KINYWE KWA EcoGraph

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA โ€ขย  _*Mradi wa Epanko Graphite Kuinufaisha Tanzania Kibiashara, Kiuchumi*_ โ€ขย  _*Kuchangia Zaidi ya Shilingi Trilioni 5 kwenye Pato la Taifa*_ โ€ขย  _*Tanzania kuwa Kiungo Muhimu Katika Sekta ya Nishati Safi Duniani*_ Tanzania imeandika historia mpya katika Sekta ya Madini baada ya Machi 3, 2025, Serikali kutoa Leseni Kubwa ya Uchimbajiย  (Special […]

BIASHARA
February 28, 2025
47 views 16 secs 0

KAMERA 40 KUFUNGWA SOKO LA KARIAKOO

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA DAR ES SALAAM: KATIBU Tawala mkoa wa Dar es Salaam Dk. Toba Nguvila amesema katika kuhakikisha usalama katika soko la Kariakoo, tayari serikali kupitiaย  Halmashauri ya jiji hilo imeshasaini mkataba na Wakalawa Ufundiย  na Umemeย  Tanzaniaย  TAMESA kwaajili ya ufungaji wa kamera 40 za ulinzi ( CCTV Camera) […]

BIASHARA
February 28, 2025
43 views 59 secs 0

KUFANYA KAZI USIKU SIO JAMBO JIPYA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamilaย  amewataka wananchi na wafanyabiashara wote kuunga mkono ufanyaji biashara saa 24 Dar es Salaam na siyo kupinga kama ilivyo kwa baadhi ya watu wanaobeza mambo makubwa yanapofanyika. Akizungumza katika sherehe za uzinduzi wa ufanyaji biashara wa saa 24 uliofanyika eneo la Soko […]