BURUDANI
January 31, 2025
37 views 25 secs 0

USIKU WA SEKTA YA UTALII KUPITIA KAMPENI MAALUMU IJULIKANAYO KAMA T506

Wasanii wa Bongo Flavor Soggy Doggy Hunter na Ruby wakitoa burudani katika hafla ya kutangaza mafanikio katika sekta ya utalii kupitia kampeni maalum ijulikanayo kama T506 usd inayofanyika  jijini Dar es salaam, tarehe 31 Januari, 2025 ambapo mgeni rasmi ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb)

BURUDANI
January 30, 2025
20 views 2 mins 0

DKT. ABBASI AITAKA SEKTA BINAFSI KUSHIRIKIANA NA WIZARA KUTANGAZA MAZURI YA SEKTA YA UTALII

Na. Joyce Ndunguru, Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi ametoa wito kwa Sekta binafsi kuendelea kushirikiana na Serikali katika kutangaza mazuri yatokanayo na utalii sehemu mbalimbali za dunia. Dkt. Abbasi ameyasema hayo leo Januari 29,2025, alipokuwa katika mazungumzo na vyama mbalimbali vya utalii vilivyopo nchini katika kikao […]

BURUDANI
December 26, 2024
64 views 11 secs 0

ZAIDI YA WATALII 700 WAFURIKA TABORA ZOO KUJIONE MAAJABU YA BUSTANI HIYO

Na Beatus Maganja Jumla ya watalii 770 kutoka viunga vya Mkoa wa Tabora na mikoa ya karibu wametembelea Bustani ya wanyamapori hai almaarufu TABORA ZOO Desemba 25, 2024 kujionea maajabu yaliyopo ndani ya bustani hiyo ikiwemo Nyumbu rafiki wa binadamu mwenye sifa za kipekee za kuambatana na watalii akiwaongoza katika vivutio mbalimbali vilivyopo ndani ya […]

BURUDANI, KITAIFA
December 14, 2024
88 views 3 mins 0

WASANII WATAKIWA KUJALI AFYA ZAO KWA KUJIHUSISHA NA UPIMAJI WA MIILI YAO

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wasanii wametakiwa kujitokeza kwa wingi kupima afya zao wakati wa kambi maalumu ya uchunguzi na matibabu ya moyo itakayofanyika hivi karibuni katika Kliniki ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) iliyopo Kawe. Rai hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter […]

BURUDANI
December 10, 2024
79 views 3 mins 0

ZANZIBAR IMEITIKA, KAMPENI YA UTALII KUELEKEA MSIMU WA SIKUKUU ZA MWISHO WA MWAKA.

Na Kassim Nyaki, NCAA. Zoezi la kunadi vivutio vya utalii vilivyopo eneo la hifadhi ya Ngorongoro kuelekea msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka limefika Zanzibar ambapo kampeni hiyo imepokelewa kwa kishindo, shangwe na bashasha kwa wananchi wa Zanzibar. Meneja wa Idara ya huduma za Utalii na Masoko NCAA, Mariam Kobelo ameeleza kuwa Zanzibar ni […]

BURUDANI
December 09, 2024
95 views 27 secs 0

TANZANIA KUZINDUA TUZO ZA UTALII NA UHIFADHI DISEMBA 20 , 2024 MWAKA HUU

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wizara ya maliasili na utalii Tanzania imesema kuwa itaendelea kuumga mkono juhudi za serikali chini ya raisi wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia suluhu Hassan katika kukuza sekta ya utalii ndani na nje ya nchi Hayo yamesemwa jijini Dar es salaam na katibu mkuu wa Wizara ya maliasili na utalii […]

BURUDANI
December 03, 2024
76 views 4 mins 0

MWANAMITINDO MAGESE JAJI MKUU SAMIA FASHION FESTIVAL

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA MWANAMITINDOย  wa Kimataifa Mellen Happiness Magese ametangazwa kuwa Jaji Mkuu wa Tamasha la Samia Fashion Festival litakalofanyika leovisiwani Zanzibar. Akizungumza na waandishi wa habari jana baada ya kutangazwa kuwa Jaji Mkuu wa Tamasha hilo , Millen Magese alisema kuwa ni heshimaย  kubwa. Alisema kuwa ni furaha kwake kusimama kama Jaji Mkuu […]

BURUDANI
November 16, 2024
359 views 34 secs 0

FREDY MUIGIZAJI WA TAMTHILIA MZANI WA MAPENZI AFARIKI DUNIA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Dar es salaam. Muigizaji wa tamthilia na Filamu Nchini, Fredy Kiluswa amefariki Dunia.Taarifa za kifo chake zimethibitishwa baadhi ya wasanii wakiwemo @jb_jerusalemfilms na Steve Mengele almaarufu Steve Nyerere. Fredy ametamba na filamu na tamthilia mbalimbali ikiwemo tamthilia ya Mzani wa Mapenzi inayoonyeshwa katika channel ya Sinema Zetu ya Azam TV. Endelea […]