FEATURE
on May 14, 2025
22 views 2 mins

Veronica Simba – WMA Serikali kupitia Wakala wa Vipimo (WMA) nchini imekagua na kuhakiki vipimo 1,013,859 ambavyo ni sawa na asilimia 99.2 ya lengo la kukagua vipimo 1,022,342 katika mwaka wa fedha 2024/2025. Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo, amebainisha hayo bungeni Dodoma leo, Mei 14, 2025 wakati akiwasilisha hotuba ya makadirio ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on May 14, 2025
18 views 4 mins

๐Ÿ“Œ Matumizi ya teknolojia kupewa kipaumbele Sekta ya Nishati ๐Ÿ“Œ Morocco wampongeza Rais Samia kwa usimamizi bora Sekta ya Nishati Tanzania na Ufalme wa Morocco zimekubaliana kuimarisha ushirikiano wa matumizi ya teknolojia katika Sekta ya Nishati ili kuiwezesha sekta hiyo kuwa na mchango endelevu nchini. Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa  Nishati, […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on May 14, 2025
16 views 3 mins

๐Ÿ“ŒKunufaisha Kaya 3,960 kutoka katika Vitongoji 120 ndani ya Wilaya Tano ๐Ÿ“ŒVitongoji 15 katika kila Jimbo la uchaguzi kunufaika ๐Ÿ“ŒRC Dendego amshukuru Rais Samia na aipongeza REA kwa kazi kubwa wanayoifanya ya kuhakikisha vitongoji vyote vilivyosalia vinapatiwa umeme SERIKALI kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatekeleza mradi wa Shilingi Bilioni 17.39 wa kusambaza umeme katika […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on May 14, 2025
18 views 2 mins

*๐Ÿ“Œ Maeneo 300 tayari yamefikkwa* *๐Ÿ“Œ Asisitiza gharama ya kuunganisha umeme Vijijini ni shilingi 27,000/-* Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Serikali inaendelea kutekeleza mradi wa kupeleka umeme kwenye  maeneo ya kimkakati nchini ikiwemo maeneo ya migodi midogo,  maeneo ya uvuvi, Viwanda na  yanayochagiza shughuli za kiuchumi. Mhe. Kapinga ameyasema hayo leo Mei […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on May 14, 2025
15 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐Ÿ“ŒAwamu ya kwanza ya upanuzi wa Kituo Megawati 45 yakamilika ๐Ÿ“ŒAsema wananchi wa Mbagala na Temeke watapata umeme wa uhakika. ๐Ÿ“ŒAwataka wananchi wa Mbagala kuendelea kuwa wavumilivu wakati wa utekelezaji wa Mradi Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Bw. Lazaro Twange amesema wananchi wa maeneo ya Mbagala na viunga […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on May 13, 2025
20 views 12 secs

๐Ÿ“ŒUshirikiano Tanzania, Morocco kuimarishwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewasili nchini Morocco kwa ziara ya kikazi inayolenga kukuza na kuimarisha mahusiano  kati ya nchi hizi mbili katika Sekta ya Nishati. Mara baada ya kuwasili,  Dkt. Biteko amepokelewa na Naibu Waziri wa Mageuzi ya Nishati na Maendeleo Endelevu nchini humo, […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on May 13, 2025
23 views 58 secs

_Bukoba na Tanzania imepata maendeleo makubwa kila kijiji na kata chini ya Rais Samia, tukayaseme kuondoa upotoshaji_ Afisa Tarafa wa Tarafa ya Katerero iliyopo Bukoba mkoani Kagera, Bwanku M Bwanku amewaeleza vijana kuwa mstari wa mbele kusemea kwa wananchi maendeleo makubwa yaliyopatikana kipindi cha Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa miaka minne kwa kuwaeleza […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on May 13, 2025
27 views 4 secs

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila  leo Mei 13, 2025 ameongoza waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu  na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Charles Hilary Jijini Dar es Salaam. RC Chalamila wakati wa ibada ya kuaga mwili wa marehemu Charles Hilary  katika Kanisa la mtakatifu […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on May 13, 2025
31 views 3 mins

ย ย ย ย ย  Kwa kauli moja leo tarehe 13 Mei 2025 Bunge la Tanzania limepitisha kwa kishindo bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Taasisi zake kwa mwaka 2025/2026 yenye jumla ya shilingi Trilioni 2.439 Bajeti hiyo imepitishwa kwa asilimia 100 na wabunge ili kuwezesha utekelezaji wa malengo yaliyoanishwa kwa mwaka wa fedha 2025/26, Wizara […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...