MICHEZO
January 15, 2025
8 views 2 mins 0

WATANZANIA KUNUFAIKA NA MASHINDANO YA CHAN 2025, AFCON 2027

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐Ÿ“ŒMashindano yameipa heshima Tanzania kimataifa ๐Ÿ“ŒRais Samia kinara wa Michezo nchini Watanzania watanufaika na fursa mbalimbali za kiuchumi na kijamii zitakazopatikana kuelekea mashindano ya CHAN 2025 na AFCON 2027. Hayo yamebainishwa leo Januari 15, 2025 na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko wakati akifungua Kongamano la […]

MICHEZO
December 04, 2024
61 views 33 secs 0

โ€˜GENERATIONโ€™ SAMIA YAIBUKA NA KISHINDO

Na mwandishi wetu โ€ฆ Dodoma Programu mpya ya vijana inayojulikana kama Generation Samia (Gen S) imezinduliwa rasmi, Desemba 2, 2024, jijini Dodoma, kwa lengo la kuwaunganisha vijana wa Kitanzania kutoka sekta mbalimbali na kuwajengea mtandao wa fursa za maendeleo.  Akizungumza katika uzinduzi huo, msemaji wa @Gen_samia, Sonata Nduka, amesema programu hiyo inalenga kuwa chachu ya […]

MICHEZO
November 30, 2024
51 views 2 mins 0

TANZANIA YAPANDA KENYA YASHUKA KATIKA ORODHA MPYA YA FIFA DUNIANI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Harambe StarsTimu ya taifa ya Kenya ya mpira wa miguu Harambee Stars imeshuka kwa nafasi mbili katika viwango vya hivi punde vya Fifa vilivyotolewa Alhamisi na shirikisho hilo la soka duniani. Timu ya taifa ya kandanda sasa iko katika nafasi ya 108, chini kutoka nafasi ya 106 iliyokuwa nayo Oktoba. Kushuka […]

MICHEZO
November 26, 2024
45 views 2 mins 0

MAJALIWA AHITIMISHA JIMBO CUP RUANGWA.

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kiwengwa FC yaibuka bingwa wa michuano hiyo. Waziri Mkuu na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa Kassim Majaliwa ameshuhudia mchezo wa fainali ya kombe la jimbo maarufu Jimbo cup kati ya Stand fc na Kiwengwa FC uliofanyika katika uwanja wa mpira wa miguu wa Majaliwa, Ruangwa Mkoani Lindi. Katika mchezo huo uliopigwa […]

MICHEZO
November 25, 2024
55 views 15 secs 0

NCAA YAIBUKA KIDEDEA MASHINDANO YA RIADHA SHIMMUTA TANGA 2024

Na Mwandishi wetu, Tanga Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imeibuka mshindi wa jumla katika riadha kwa wanawake kwenye mashindano ya SHIMMUTA 2024 yaliyohitimishwa Mkoani Tanga tarehe 24 Novemba, 2024. Katika mashindano hayo NCAA iliwakilishwa na wanariadha watatu ambapo Juliana Lucas aliibuka mshindi wa kwanza kwenye mbio za mita 200 na mshindi wa pili kwenye […]

MICHEZO
November 24, 2024
50 views 2 mins 0

TAWA YAIDHIBITI NCAA SHIMMUTA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA TANGA Yaibuka Mshindi wa 3 Mchezo wa Kuvuta Kamba (Me) Timu ya wavuta kamba (Me) ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) leo Novemba 23, 2024 imeibuka mshindi wa 3 katika mchezo wa Kuvuta Kamba baada ya kuishinda timu shindani ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) katika mashindano ya […]

MICHEZO
November 20, 2024
78 views 23 secs 0

TAIFA STARS WALAMBA MILIONI 700 ZA MAMA SAMIA

Na mwandishi wetu โ€ฆ RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa zawadi ya Sh Milioni 700 kwa timu ya Taifa (Taifa Stars), kufuatia ushindi wao wa bao 1-0 dhidi ya wageni wao Guinea, katika mchezo wa mwisho wa kuwania kufuzu fainali za AFCON mwaka 2025,Katika mchezo huo uliochezwa katika Uwanja […]

MICHEZO
October 19, 2024
243 views 29 secs 0

SIMBA HAWAJAWEZA KUJITETEA KWA WAPINZANI WAO YANGA KWA KUFUNGWA GOLI 1

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA KLABU ya Yanga imeendelea kuwa mbabe kwa mpinzani wake mkubwa Simba Sc mara baada ya leo kupokea kichapo cha bao 1-0 kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye dimba la Benjamini Mkapa Jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo ambao ulikuwa wa aina yake, tumeshuhudia kandanda safi kutoka kwa […]

MICHEZO
October 08, 2024
154 views 2 mins 0

MAJALIWA RAIS DKT SAMIA ANAMATUMAINI MAKUBWA NA TAIFA STARS

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameitembelea Timu ya Taifa ya Tanzania ya Mpira wa Miguu (Taifa Stars) inayofanya mazoezi kwenye uwanja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) jijini Dar es Salaam na kusema kuwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassaan anamatumaini makubwa kuwa timu hiyo itafanya vizuri kwenye michezo yote miwili. Mheshimiwa […]