SERIKALI YA AWAMU YA SITA IMETUHESHIMISHA JUMIKITA
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Waandishi wa Habari wa Kimtandao Tanzania (JUMIKITA), Shaabani Matwebe, amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imewapatia waandishi wa habari wa mtandaoni nafasi kubwa ya kushiriki katika shughuli za kitaifa, tofauti na ilivyokuwa awali. Akizungumza katika kipindi cha Medani za Siasa kinachorushwa na Star TV, […]