DKT BITEKO APIGIA CHAPUO UBUNIFU NISHATI
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DODOMA NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewataka watendaji na watumishi katika taasisi zilizo chini ya Wizara ya Nishati kuwa na umoja, ushirikiano na ubunifu ili kusogeza huduma bora kwa wananchiย ikiwemo za umeme, mafuta na Nishati Safi ya Kupikia. Kauli hiyo aliitoa jana jijini Dodoma wakati […]