HABARI KUBWA

DKT BITEKO AIPONGEZA DODOMA JIJI KUVUKA LENGO UANDIKISHAJI WAPIGA KURA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA

Ujenzi Uwanja wa Ndege Msalato Wafikia 75%, Kukamika kwake Kutachochea Maendeleo

Ampongeza Mhe. Mavunde Kwa Utekelezaji Mzuri wa Ilani ya CCM

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameipongeza Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa kuandikisha idadi kubwa ya wananchi katika daftari la wapiga kura ikiwa ni maandalizi ya Uchanguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024.

Dkt. Biteko ametoa pongezi hizo Novemba 10, 2024 wakati akihutubia katika Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi wa Jimbo la Dodoma Mjini uliyolenga kutoa Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM kwa Mwaka 2020 hadi 2024.

“Kipekee kabisa niwapongeze Halmashauri ya Jiji.

Tangaza hapa-3
Email
Twitter
META
WhatsApp

DKT BITEKO AIPONGEZA DODOMA JIJI KUVUKA LENGO UANDIKISHAJI WAPIGA KURA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ujenzi Uwanja wa Ndege Msalato Wafikia 75%, Kukamika kwake Kutachochea Maendeleo Ampongeza Mhe. Mavunde Kwa Utekelezaji Mzuri wa Ilani ya CCM Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameipongeza Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa kuandikisha idadi kubwa ya wananchi katika daftari

WAZIRI MKUU: TUNATAKA KILA MWANANCHI APATE KITAMBULISHO CHA TAIFA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema mkakati wa Serikali ni kumwezesha kila Mtanzania apate kitambulisho cha Taifa akiwa kijijini kwake. Amesema hayo leo (Alhamisi, Mei 11, 2023) bungeni wakati akijibu swali la Mbunge wa Biharamulo Magharibi, Mhandisi Ezra Chiwelesa kwenye kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu.  Mbunge

KITAIFA

Mfumuko wa Bei ulivyoathiri Nchini

Mfumuko wa bei nchini umeendelea kuwa ndani ya lengo la wigo wa kuwa chini ya asilimia 5. Mwaka 2022, mfumuko wa bei ulifikia wastani wa asilimia 4.3 ikilinganishwa na wastani wa asilimia 3 Aidha mfumuko wa

KITAIFA

WAZIRI PINDI CHANA:APOKEA VIFAA VYA MICHEZO KUTOKA CHINA

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amepokea vifaa vya michezo kutoka kwa Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe.Chen Mingjian ambavyo vitatumika katika Programu ya Michezo Mtaa kwa Mtaa pamoja

KITAIFA

MAJADILIANO YA KINA: WAZIRI MKUU BUNGENI

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, alishiriki vikao vya Bunge jijini Dodoma na kufanya mazungumzo na mawaziri kadhaa. Miongoni mwa mazungumzo hayo, Waziri Mkuu alikutana na Waziri wa Mambo ya Nje ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki,