HABARI KUBWA

DKT BITEKO AIPONGEZA DODOMA JIJI KUVUKA LENGO UANDIKISHAJI WAPIGA KURA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA

Ujenzi Uwanja wa Ndege Msalato Wafikia 75%, Kukamika kwake Kutachochea Maendeleo

Ampongeza Mhe. Mavunde Kwa Utekelezaji Mzuri wa Ilani ya CCM

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameipongeza Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa kuandikisha idadi kubwa ya wananchi katika daftari la wapiga kura ikiwa ni maandalizi ya Uchanguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024.

Dkt. Biteko ametoa pongezi hizo Novemba 10, 2024 wakati akihutubia katika Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi wa Jimbo la Dodoma Mjini uliyolenga kutoa Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM kwa Mwaka 2020 hadi 2024.

“Kipekee kabisa niwapongeze Halmashauri ya Jiji.

Tangaza hapa-3
Email
Twitter
META
WhatsApp

DKT BITEKO AIPONGEZA DODOMA JIJI KUVUKA LENGO UANDIKISHAJI WAPIGA KURA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ujenzi Uwanja wa Ndege Msalato Wafikia 75%, Kukamika kwake Kutachochea Maendeleo Ampongeza Mhe. Mavunde Kwa Utekelezaji Mzuri wa Ilani ya CCM Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameipongeza Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa kuandikisha idadi kubwa ya wananchi katika daftari

WAZIRI MKUU: TUNATAKA KILA MWANANCHI APATE KITAMBULISHO CHA TAIFA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema mkakati wa Serikali ni kumwezesha kila Mtanzania apate kitambulisho cha Taifa akiwa kijijini kwake. Amesema hayo leo (Alhamisi, Mei 11, 2023) bungeni wakati akijibu swali la Mbunge wa Biharamulo Magharibi, Mhandisi Ezra Chiwelesa kwenye kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu.  Mbunge

HUDUMA ZA TELEVISHENI KIDIGITALI ZAIDI KUIMARIKA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DAR ES SALAAM UTANGAZAJI Tanzania umeendelea kuimarika na mawimbi ya televisheni kijitali kwa mfumo wa ardhini (DTT) sasa yanafikia asilimia 58 ya watu, taarifa ya hali ya mawasiliano nchini inaonesha. Taarifa ya robo

Soma Zaidi
KIMATAIFA

JWTZ NA JESHI LA MAREKANI WAZINDUA MAFUNZO YA PAMOJA.

Jeshi la Marekani na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wamezindua mafunzo ya pili ya pamoja ya kila mwaka katika hafla iliyofanyika katika Kituo cha Mafunzo ya Ulinzi wa Amani Kunduchi Tarehe 21 Julai 2023. Mafunzo

MICHEZO

YANGA SC NA AL AHLY YAONESHANA UBABE YAPATA USHINDI WA 1-1

Mashindano ya klabu bingwa barani afrika hatua ya makundi imeendelea leo Jumamosi December 02,2023 kwa kuchezwa michezo mbalimbali huku Tanzania ikiwakilishwa na Simba na Yanga. Yanga imejitahidi kucheza Zaidi ya waarabu hao ambao gemu ilikuwa ngumu

KITAIFA

AMREF KUREKEBISHA KANUNI ZA AFYA ZA KIMATAIFA

Na Madina Mohammed WAMACHINGA DAR ES SALAAM Mkutano wa Afya Duniani (WHA77),ulioandaliwa na Amref Health Africa kwa ushirikiano na Afrika CDC, Ofisi ya Kanda ya Afrika ya Shirika la Afya Duniani na Bill na Melinda Gates