HABARI KUBWA

WMA YAHAKIKI VIPIMO ASILIMIA 99 YA LENGO*



Veronica Simba – WMA

Serikali kupitia Wakala wa Vipimo (WMA) nchini imekagua na kuhakiki vipimo 1,013,859 ambavyo ni sawa na asilimia 99.2 ya lengo la kukagua vipimo 1,022,342 katika mwaka wa fedha 2024/2025.

Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo, amebainisha hayo bungeni Dodoma leo, Mei 14, 2025 wakati akiwasilisha hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2025/2026.

“Kati ya vipimo vilivyokaguliwa na kuhakikiwa, vipimo 10,898 vilirekebishwa na 761 vilikataliwa,” amesema.

Aidha, Waziri Jafo ameeleza kuwa katika kipindi cha mwaka 2024/2025, Wizara yake kupitia WMA iliendelea kufanya kaguzi za kawaida na kaguzi za kushtukiza ambapo jumla ya kaguzi 3,293 kati ya 3,000 zilizopangwa kufanyika kwa vipimo mbalimbali vitumikavyo kwenye biashara,.

Tangaza hapa-3
Email
Twitter
META
WhatsApp

WMA YAHAKIKI VIPIMO ASILIMIA 99 YA LENGO*

Veronica Simba – WMA Serikali kupitia Wakala wa Vipimo (WMA) nchini imekagua na kuhakiki vipimo 1,013,859 ambavyo ni sawa na asilimia 99.2 ya lengo la kukagua vipimo 1,022,342 katika mwaka wa fedha 2024/2025. Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo, amebainisha hayo bungeni Dodoma leo, Mei 14, 2025 wakati

WAZIRI MKUU: TUNATAKA KILA MWANANCHI APATE KITAMBULISHO CHA TAIFA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema mkakati wa Serikali ni kumwezesha kila Mtanzania apate kitambulisho cha Taifa akiwa kijijini kwake. Amesema hayo leo (Alhamisi, Mei 11, 2023) bungeni wakati akijibu swali la Mbunge wa Biharamulo Magharibi, Mhandisi Ezra Chiwelesa kwenye kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu.  Mbunge

KITAIFA

DKT. BITEKO AWASILI MKOANI IRINGA

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Aprili 26, amewasili mkoani Iringa kwa ziara ya kikazi ya siku moja. Katika Uwanja wa Ndege wa Nduli, Dkt. Biteko amepokelewa na mwenyeji wake

KITAIFA

WARUMISHI WA NISHATI WATOA ELIMU YA NISHATI SAFI

DODOMA-CHAMWINO Wanawake wa Wizara ya Nishati, wameungana na wanawake wenzao dunia kuadhimisha siku ya wanawake ambayo Mkoani Dodoma imeadhimishwa wilayani Chamwino. Katika madhimisho hayo watumishi wametumia siku hiyo kuelimisha wananchi mbalimbali kuhusu nishati safi ya kupikia.

BIASHARA

WAZIRI MAVUNDE AFUTA MAOMBI YA LESENI ZA MADINI 227

Awataka wadau kuzingatia matakwa ya Sheria wamiliki wa akaunti za uombaji na usimamizi wa leseni kwa njia ya mtandao ambao sio waaminifiu kusitishiwa akaunti zao Zoezi la ufutaji wa maombi na Leseni kuwa endelevu Amtaka kila

BIASHARA

KUFANYA KAZI USIKU SIO JAMBO JIPYA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila  amewataka wananchi na wafanyabiashara wote kuunga mkono ufanyaji biashara saa 24 Dar es Salaam na siyo kupinga kama ilivyo kwa baadhi ya watu