Home > Articles posted by GEORGE ALPHONCE
FEATURE
on May 27, 2023
303 views 30 secs

Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi Ndg. Sophia Mjema ameagiza serikali kushirikiana na wananchi katika kukomesha udumavu mkoani Iringa. \”Dhamira ya CCM kama ilivyolezwa kwenye ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 ibara ya 86 ni kuhakikisha watoto wanapata lishe bora na kutokomeza udumavu ili tuwe kuwa na vizazi vyenye nguvu Kazi […]

FEATURE
on May 27, 2023
337 views 3 mins

Meneja miliki wa Mamlaka ya Bandari, Alexander Ndibalema akizungumza na Waandishi wa Habari leo Mei 27, 2023 Serikali kupitia TPA imeamua kujenga Bandari Kavu eneo la Kwala โ€œQuarantineโ€ Ruvu. Katika awamu ya kwanza, Hekta 502 zimetwaliwa na TPA ikiwa ni sehemu ya Hekta 52,000 ya eneo linalomilikiwa na Serikali kupitia Wizara ya Kilimo, Mifugo na […]

FEATURE
on May 26, 2023
221 views 13 secs

Rais Mstaafu Mhe. Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Mkutano wa Jukwaa la 7 la Uongozi Afrika (7th Africa Leadership Forum 2023) linalofanyika kuanzia leo tarehe 25  hadi kesho 26 Mei 2023, jijini  Accra, Ghana. Rais Mstaafu Mhe. Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Nana Akufo-Addo wa Ghana wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Jukwaa la […]

FEATURE
on May 26, 2023
188 views 4 mins

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama akizungumza wakati alipokutana na kufanya mazungumzo na uongozi wa Baraza la Taifa la Watu wanaoishi na Virusi vya UKIMWI (NACOPHA) katika Ukumbi wa Waziri Mkuu Bungeni Jijini Dodoma tarehe 25 Mei, 2023. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala […]

FEATURE
on May 26, 2023
254 views 3 mins

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akitoa salamu za Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakati wa Mkutano wa Kumi wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania unaoendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar. Sehemu ya washiriki […]

FEATURE
on May 26, 2023
262 views 50 secs

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Moshi Kakoso (Kushoto), akipata elimu ya matumizi sahihi ya mfumo wa kieletroniki wa ufuatiliaji wa hali ya kutoka kwa Eng. Jacob Mukasa wa Bodi ya Mfuko wa Barabara, Bungeni jijini Dodoma. Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Abbas Tarimba akitoa maoni yake kuhusu matumizi ya mfumo wa […]

FEATURE
on May 26, 2023
244 views 25 secs

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria chini ya Mwenyekiti wake, Mheshimiwa Dkt. Joseph Mhagama (Mb) ilipokutana na Waziri wa Nchi-Ofisi ya Rais, Menejinenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mheshimiwa George Simbachawene (Mb) ili kupata maelezo kuhusu Muswada wa Sheria ya Tume ya Mipango wa Mwaka 2023.

FEATURE
on May 26, 2023
176 views 27 secs

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kamba pamoja na Raiswa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni kuashiria uzinduzi wa Mradi wa Umeme wa Kikagati โ€“ Murongo, Mbarara nchini Uganda tarehe 25 Mei, 2023. Mradi huo wa umeme utanufaisha nchi zote mbili katika masuala ya Nishati ya umeme. Rais wa Jamhuri […]

FEATURE
on May 26, 2023
276 views 2 mins

Kaimu Mganga Mkuu wa Mifugo Tanzania Dkt. Benezeth Lutege Serikali imesema vifo vya watu wawili vilivyotokea kwa ulaji wa nyama kwenye kijiji cha Msaranga kilichoko Kata ya Kisale, Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro Mei 4 mwaka huu havihusiani kabisa na ugonjwa wa kimeta. Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa leo (25.05.2023) na Wizara ya Mifugo […]

FEATURE
on May 25, 2023
202 views 4 mins

Meneja wa Bandari ya Tanga, Masoud Athumani Mrisha akizungumza na Waandishi wa Habari Baada ya maboresho makubwa hatimaye bandari ya Tanga imeanza kupokea meli kubwa, huku shehena za mizigo pia zikiongezeka kutoka tani laki saba na nusu mpaka tani milioni 3 kwa mwaka, pia ikioneka kuanza kuichangamsha mikoa mingi ya jirani hasa ya Kaskazini.Akizungumza na […]