Home > Articles posted by John Mwonga
FEATURE
on Sep 4, 2023
402 views 1 sec

Rapa na Mfanyabiashara wa Marekani, Kanye West na mkewe, Bianca Censori, wamepigwa zuio la maisha na Kampuni maarufu ya kukodisha Boti ya Venezia Turismo Motoscafi, baada ya wanandoa hao kunaswa katika picha wakishiriki matendo ya ngono kwenye moja ya Boti ya kampuni hiyo. Huku sehemu ndogo ya makalio ya Ye ikiwa wazi. Kampuni hiyo yenye […]

FEATURE
on Sep 1, 2023
1043 views 58 secs

Msanii wa Bongofleva Haitham Kim ambaye hivi karibuni Wasanii na Wadau wengine mbalimbali walianzisha kampeni ya kusaidia kuchangisha pesa kwa ajili ya matibabu yake amefariki leo katika Hospitali ya Rufaa ya Temeke Jijini Dar es salaam. BNB ambaye ni Rafiki wa Mume wa Marehemu Haitham, ameithibitisha kuwa ni kweli Haitham amefariki leo Hospitalini hapo. Katika […]

FEATURE
on Aug 13, 2023
369 views 40 secs

Jeshi la polisi Mkoani Mwanza linamshikilia Said Mfaume (32) ambaye ni Mtaalamu wa IT na Mkazi wa Arusha kwa kumchoma na kumjeruhi Mpenzi wake aitwaye Faudhia Juma (34) Mkazi wa Singida kwa kumchoma kisu katika maeneo mbalimbali ya mwili wake kisha na yeye kujaribu kujiua kwa kujichoma kisu tumboni hadi utumbo ukaningโ€™inia akiamini kuwa Mpenzi […]

FEATURE
on Aug 11, 2023
484 views 14 secs

Wakili wa kujitegemea ametoa maoni juu uamuzi wa mahakama Kuu kanda ya Mbeya kwenye kesi ya Kikatiba namba 5, Mwaka 2023. Tamzama hapa https://www.youtube.com/watch?v=k8HfcQVFiyk

FEATURE
on Aug 10, 2023
392 views 18 secs

Muuguzi wa Zahanati ya Kijiji cha Mawengi Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe, Ubatizo Sanga mwenye umri wa miaka 55 amefariki baada ya kupigwa na mchi wa kinu kichwani na baadaye kubakwa na Mtoto wake Asifiwe Haule mwenye umri wa miaka 25. Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Victoria Mwanziva amethibitisha kutokea kwa tukio hilo […]

FEATURE
on Aug 9, 2023
317 views 2 secs

Tory Lanez ahukumiwa kwenda Jela miaka 10 kwa kosa la kumpiga risasi aliekua mpenzi wake Meghan Thee Stalllion katika tukio la miaka mitatu 3 iliopita . Jaji wa Mahakama ya Juu ya Los Angeles, David Herriford, alitoa hukumu hiyo kwa Lanez mwenye umri wa miaka 31, Tory amepatikana na hatia kwa makosa yote matatu tangu […]

FEATURE
on Aug 9, 2023
292 views 2 mins

Mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai Tanzania (DCI) Kamishna wa Polisi Ramadhani Kingai ambaye pia ni msimamizi na mfuatiliaji wa Kanda namba mbili ya mashariki iliyojumuisha Kanda Maalum Dar es salaam, Pwani na Rufiji. Kamishna Kingai amewataka Askari wa Jeshi la Polisi kuwachukulia hatua wanunuzi wa mali za wizi “Receivers” kwa vile wao pia […]

FEATURE
on Aug 7, 2023
780 views 59 secs

Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Bernard Kamungo  anayecheza FC Dallas ya Marekani, alfajiri ya leo alikuwa uwanjani kucheza dhidi ya Inter Miami inayochezewa na Lionel Messi katika mchezo wa Kombe la Ligi (North & Central America League Cup). Katika mchezo huo ambao uliongezeka mvuto kutokana na uwepo wa Lionel Messi dakika 90 […]

FEATURE
on Aug 3, 2023
756 views 25 secs

Moja ya miradi maarufu ya majengo katika makutano ya Morocco jijini Dar es Salaam, inayoitwa ‘Morocco Square’ imekamilika kwa asilimia 97, linasema Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). NHC pia inasema kuwa tayari asilimia 94 ya maduka na maduka ya reja reja yamekodishwa, huku hoteli hiyo yenye vyumba 81 pia tayari imenunuliwa na kampuni ya […]

FEATURE
on Aug 3, 2023
338 views 30 secs

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) linalomilikiwa na Serikali, Hamad Abdallah, alisema Tanzania inakosa mapato mengi kwa kuwanyima wageni haki ya kumiliki ardhi nchini. Anasema kuwa nchi nyingine, kama vile Rwanda, Kenya, na Afrika Kusini, na nchi zenye uchumi wa juu kama vile Dubai, zinaruhusu wageni kumiliki nyumba bila malipo. “Tunakosa kutumia […]