Home > Articles posted by MACHINGA TV
FEATURE
on Apr 19, 2025
14 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA _Ni Daraja linalotesa Wananchi wakati wa mvua, Rais Samia aidhinisha Bilioni 9.7 linajengwa jipya la kisasa. Kukamilika Novemba._ Hakuna cha Jumamosi wala Jumapili, Katerero ni kazi juu ya kazi. Mchana wa leo Jumamosi Aprili 19, 2025 Afisa Tarafa ya Katerero iliyopo Bukoba mkoani Kagera Ndugu Bwanku M Bwanku akiongozana na Kaimu […]

FEATURE
on Apr 19, 2025
18 views 44 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kuwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amerejesha Tamasha la Serengeti Music Festival na sasa linaitwa Samia Serengeti Music Festival ambalo wasanii wote wakubwa watapanda jukwaa moja, litafungwa jukwaa la kihistoria na Tamasha litafunguliwa […]

FEATURE
on Apr 19, 2025
14 views 12 secs

  Na Sixmund Begashe Timu ya Mpira wa Pete ya Wanawake ya Wizara ya Maliasili na Utalii imeifunga vikali Timu ya Wanawake ya Mahakama kwa mabao 28 kwa 18 katika mchezo uliochezwa leo kwenye uwanja wa michezo wa VETA, mkoani Singida. Akizungumza mara baada ya mchezo huo uliovutia mashabiki wengi, Bi. Getrude Kassara, Mratibu wa […]

FEATURE
on Apr 19, 2025
16 views 50 secs

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imetangaza gawio la kihistoria la shilingi bilioni 5.58 kwa Serikali ya Tanzania kutoka shilingi milioni 850 zilizotolewa mwaka 2023. Taarifa hiyo imetolewa katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Wanahisa kwa mwaka wa fedha ulioishia Desemba 31, 2024, uliofanyika makao makuu ya […]

FEATURE
on Apr 19, 2025
15 views 31 secs

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mkuu wa mkoa wa dar es salaam Albert Chalamila Amesema hakuna mtu yeyote atakae vuruga amani Katika jiji la dar es salaam Ameyasema hayo Leo 18 April 2028 mkuu wa mkoa wa dar es salaam Albert Chalamila Amesema Jana tumepewa maelezo kadhaa na Kamanda wa Kanda maalumu ya […]

FEATURE
on Apr 18, 2025
21 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Tabora, 17 Aprili 2025 Katika kuhakikisha wakulima wa tumbaku wanapata ruzuku za mbolea Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), Bw. Joel Laurent, amefanya ziara ya kikazi katika vituo viwili vinavyo hakiki taarifa hizo mkoani Tabora kujionea maendeleo ya zoezi hilo na kuhakikisha linakamilika kwa wakati. Baada ya […]

FEATURE
on Apr 18, 2025
25 views 59 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -Asema huo ni mwanzo tu changamoto zingine zitaendelea kutatuliwa. -Ataka ujenzi wa Zahanati hiyo ukamilike haraka wananchi wa Saranga waanze kupata huduma. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo April 17,2025 amekabidhi milioni 100 kwa wakazi wa Saranga wilaya ya Ubungo ikiwa ni kutimiza ahadi aliyoitoa wakati […]

FEATURE
on Apr 17, 2025
28 views 2 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mjumbe Maalum wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete amehitimisha ziara yake kwa kukutana na Rais wa Burkina Faso, Mhe. Captain Ibrahim Traoré. Mkutano huo ulifanyika jijini Ouagadougou Aprili 17, 2025 na kuhudhuriwa na maafisa waandamizi kutoka Serikali zote mbili. Katika mkutano huo, Mhe. Kikwete alielezea shukrani zake […]

FEATURE
on Apr 17, 2025
24 views 55 secs

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Jeshi la polisi kanda maalumu dar es salaam limesema kuwa kuanzia April 18,2025 waumini wa dini ya kikristo wanaanza kuungana na wenzao duniani Kwa kusheherekea sikukuu ya pasaka itakayo sheherekewa Tarehe 20, April 2025 ambayo itahusisha Ibada mbalimbali zitakazo fanyika Katika nyumba za Ibada usiku na mchana Ameyasema […]