Home > Articles posted by Mwanahabari digital
FEATURE
on May 25, 2023
260 views 4 mins

Songwe. Wakulima wa zao la ufuta mkoa wa Songwe wameanza kuona tija ya kuzalisha zao hilo baada ya kuuza Sh 3678 kwa kilo moja tofauti na misimu ya huko nyuma walikuwa wakiuza sh 2000. Wananchi hao wameanza kuona kuonja manufaa hayo baada ya kuanza kuuza bidhaa hiyo kwa kutumia mfumo wa stakabadhi ghalani na kuachana […]

FEATURE
on May 15, 2023
350 views 4 mins

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ametekeleza uamuzi wa kufanya uhamisho mkubwa wa baadhi ya Wakuu wa Mikoa katika nchi hiyo. Uhamisho huo umelenga kuleta mabadiliko na kuimarisha utendaji katika ngazi za uongozi wa mikoa. Katika uhamisho huo, Bw. Amos Gabriel Makalla amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Kabla […]

FEATURE
on May 15, 2023
200 views 2 mins

Jumuiya ya Wafanyabiashara wa soko la Kimataifa la Kariakoo wamekubali kuendelea kufanya biashara katika soko hilo baada ya Serikali kuridhia kuendelea kutatua changamoto mbalimbali zinazowakibili. Wamefikia uamuzi huo leo (Jumatatu, Mei 15, 2023) baada ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kufika katika soko hilo na kuzungumza nao kufuatia mgomo ulioanza mapema Mei 15, 2023 ambapo walilalamikia […]

FEATURE
on May 15, 2023
304 views 56 secs

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania Camillus M.Wambura IGP akiwa na ujumbe wa Maofisa watano kutoka Jeshi la Polisi Tanzania leo Mei 15,2023 wameanza rasmi ziara ya kikazi Nchini Ireland ambapo ametembelea Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Ireland \”An Garda Síochána\” na kukutana na Deputy  Commissioner Anne Marie McMahon.Wameweza kubadilishana uzoefu wa namna ya […]

FEATURE
on May 15, 2023
111 views 39 secs

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajia kukutana na kamati ya wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo, Mawaziri wa sekta husika na Mamlaka ya Mapato Tanzania ( TRA). Mkutano huo unaotarajiwa kufanyika Saa 8 Mchana kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu MAGOGONI- ikuluJumatano tarehe 17 Mei 2023 kwa unaratibu wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makala. […]

FEATURE
on May 15, 2023
272 views 5 mins

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameitaka jamii ishirikiane na akinamama katika malezi ili kujenga jamii yenye maadili ya kitanzania Ametoa wito huo jana usiku (Jumapili, Mei 14, 2023) wakati akizungumza na washiriki wa hafla ya Mtoko wa Mama kwenye ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam ikiwa ni maadhimisho ya Siku ya Mama Duniani. Hafla […]

FEATURE
on May 14, 2023
125 views 48 secs

Kuhusu tetesi za uwepo wa #COVID19; Nawaomba wananchi muondoe hofu. Tunachakata taarifa tulizokusanya kutoka Hospitali/Vituo mbalimbali ndani ya wiki hii tutatoa taarifa kama kuna ongezeko la magonjwa ya mfumo wa hewa au la?? Kwa taarifa za wagonjwa waliopimwa virusi vya UVIKO-19 wiki ya tarehe 6 – 12 Mei 2023 Watu 6 kati ya 288 walithibitishwa kuwa […]

FEATURE
on May 14, 2023
218 views 4 mins

Serikali kupitia TANROADS imesaini mikataba miwili ya ujenzi wa barabara unganishi katika Daraja la Sibiti yenye urefu wa kilometa 24.83 kwa kiwango cha lami (mradi unatekelezwa Wilaya ya Mkalama) na mkataba wa ujenzi wa barabara ya Makongolosi – Rungwa – Itigi – Mkiwa sehemu ya Noranga – Doroto yenye urefu wa kilometa 6 na Itigi […]