KUTEKWA KWA NONDO, VIJANA WATAKIWA KUUNGANA KUKEMEA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo kupitia kwa Naibu Katibu Vijana Taifa, Ruqayya Nassir leo tarehe 2 December 2024, Jijini Dar es Salaam ametoa rai kwa vijana nchini kupinga dhulma zote zinazolenga kuizika Demokrasia na kuzika matumaini ya kurejeshwa demokrasia ya kisiasa nchini. Ruqayya amesema kwenye masuala haya ya kutekwa na […]