BIASHARA
July 12, 2024
115 views 2 mins 0

BASHE AZITAKA NCHI ZA AFRIKA KUWA NA SERA NZURI ZA UWEKEZAJI SEKTA YA KILIMO

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amezitaka nchi za Afrika kuwa na sera nzuri za uwekezaji katika sekta ya kilimo ili kuharakisha maendeleo ya sekta hiyo  na kukuza uchumi wa Afrika. Akizungumza wakati wa kuzindua mpango mkuu wa maendeleo wa mifumo ya chakula 2030 uliofanyika jijini Dar es Salaam, […]

BIASHARA
July 05, 2024
305 views 2 mins 0

AGRA KUPITIA BBT YAANZA KUTOA MIKOPO KWA  VIJANA ILI WAWEKEZE KWENYE KILIMO

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Katibu Mkuu wa Wizara ya kilimo Jerald Mweli amewataka vijana kuchangamkia fursa zilizopo katika miradi ya kilimo ili kujitengenezea ajira ya kudumu. Mweli amesema hayo katika kongamano la vijana wanaojishughulisha na kilimo nchini lililoandaliwa na shirika la  mageuzi ya kijana Tanzania(AGRA) kupitia mradi wa Building a Better Tomorrow […]

KITAIFA
December 13, 2023
373 views 50 secs 0

WIZARA YA MALIASILI YAVUNJA REKODI,JENGO LA OFISI MTUMBA LAKABIDHIWA

Wizara ya Maliasili na Utalii imevunja rekodi kwa kukamilisha ujenzi Jengo jipya la Ofisi lililopo kwenye Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma, na kuruhusu sasa Jengo hilo kutumika rasmi. Akipokea Jengo hilo, Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Hassan Abbasi amesema kukamilika vyema na kwa wakati kwa Jengo hilo, ni matokeo chanya ya […]

KITAIFA
December 06, 2023
234 views 2 mins 0

BASHUNGWA:MISHENI YA LEO NI KUSAFISHA MJI WA KATESH

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kazi ya kuondoa tope inaendelea na shughuli kubwa inayofanyika kwa sasa ni kufungua mitaa yote ya mji wa Katesh na kurejesha mji katika hali yake ya awali kwa kuwezesha shughuli za uzalishaji kuendelea. Ameyasema hayo mapema asubuhi hii wakati wakikagua kazi zilizofanyika ambapo aliambatana na Waziri wa Nchi, Ofisi […]

KITAIFA
December 05, 2023
183 views 4 mins 0

DKT BITEKO:VIONGOZI TUACHE ALAMA NZURI KATIKA UTENDAJI WETU WA KAZI

Kilimanjaro Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametoa wito kwa viongozi mbalimbali Serikalini kuhakikisha kuwa, kazi walizonazo wanazifanya kwa bidii kubwa na kuacha alama nzuri kwa wananchi, hivyo ni muhimu kazi hizo zikaonekana na kufaidisha wananchi. Amesema hayo tarehe 5 Desemba 2023 wakati alipomwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa […]

KITAIFA
November 29, 2023
282 views 2 mins 0

BREAKING NEWS: CHONGOLO AJIUZULU RASMI

Chama Cha Mapinduzi kimefanya kikao cha kawaida cha Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa tarehe 29 Novemba 2023 Jijini Dar Es Salaam chini ya Mwenyekiti na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Pamoja na mambo mengine, kikao hicho kilijadili hali ya kisiasa ndani ya Chama na nje ya Chama […]

KITAIFA
November 23, 2023
238 views 2 mins 0

MPANJU:JITOKEZENI KATIKA MIKUTANO YA HADHARA KUTANGAZA KAZI ZENU

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Wakili Amon Mpanju amewasisitiza Maafisa Maendeleo ya Jamii kujitokeza katika mikutano ya hadhara hasa ya viongozi wa kisiasa ili wanadi kazi zao kwa wananchi ili zifahamike zaidi. Wakili Mpanju ameyasema hayo Novemba 22, 2023 jijini Arusha, wakati wa kufunga kongamano la siku […]

KITAIFA
November 09, 2023
227 views 57 secs 0

SERIKAL YATIA UFAFANUZI WA MIFUGO ILIYOKAMATWA SERENGETI

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amesema kuwa suala linalohusisha ng’ombe 806, kondoo 420 na mbuzi 100 waliokamatwa Serengeti na kupigwa mnada baada ya Mahakama ya Musoma kutoa hukumu, limeshahitimishwa kimahakama baada ya taratibu zote kukamilika. Waziri Kairuki ameyasema hayo leo Novemba 9,2023 Bungeni jijini Dodoma alipokuwa akijibu hoja ya Mbunge wa […]

KITAIFA
November 06, 2023
175 views 2 mins 0

MBUNGE KOKA,DC KIBAHA WATIMBA DARAJA LA MTO MPIJI WAMPONGEZA RAIS SAMIA

Mbunge wa Jimbo la Kibaha mjini Silvestry Koka amempongeza kwa dhati Rais wa awamu ya sita Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kukubali kutoa kiasi shilingi milioni 252 kwa ajili ya ukarabati wa daraja la mto Mpiji ili liweze kuwasaidia wananchi wa kata ya pangani kuvuka kwa urahisi hasa katika kipindi hiki cha mvua. Koka ametoa pongezi […]