DKT BITEKO:VIONGOZI TUACHE ALAMA NZURI KATIKA UTENDAJI WETU WA KAZI
Kilimanjaro Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametoa wito kwa viongozi mbalimbali Serikalini kuhakikisha kuwa, kazi walizonazo wanazifanya kwa bidii kubwa na kuacha alama nzuri kwa wananchi, hivyo ni muhimu kazi hizo zikaonekana na kufaidisha wananchi. Amesema hayo tarehe 5 Desemba 2023 wakati alipomwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa […]