MAKOBA:KUPAA KWA UCHUMI WA TANZANIA KUTAONGEZA UWEKEZAJI
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA DODOMA Imeelezwa kuwa ripoti ya hivi karibuni ya Shirika la Fedha Duniani (IMF), inayoonesha kuwa uchumi wa Tanzania unatarajiwa kukua kwa asilimia sita mwaka 2025, itasaidia kuiweka Tanzania katika nafasi nzuri ya kuongeza kiwango cha uwekezaji na hivyo kuongeza ajira na kupunguza umasikini. Akiongea na waandishi wa habari jijini Dodoma Oktoba […]