MILIONI 790 ZA DHARURA KUREJESHA MAWASILIANO YA MIUNDOMBINU TABORA
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA TABORA TARURA Mkoa wa Tabora imepokea fedha za dharura kiasi cha shilingi milioni 790 kwaajili ya kurejesha mawasiliano ya miundombinu ambayo yameathiriwa na mvua za Elnino mkoani humo. Meneja wa TARURA Mkoa wa Tabora, Mhandisi Lusako Kilembe amesema kwamba fedha hizo zitatumika kurejesha mawasiliano ya barabara ambazo zilikatika kutokana na mvua […]