KITAIFA
November 15, 2024
95 views 4 mins 0

RAIS SAMIA AUMIZWA NA MAUAJI YA KIBIKI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Simanzi yatanda mazishi yake Nchimbi: matukio ya kutia hofu na shaka, hayakubaliki MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan โ€˜ameumizwa na kusikitishwa sanaโ€™ na tukio la kuuwawa kwa Ndugu Christina Alex Kibiki, aliyekuwa Katibu wa CCM Wilaya ya Kilolo, […]

KITAIFA
November 03, 2024
84 views 50 secs 0

BALOZI NCHIMBI AKUTANA NA KATIBU MKUU WA CRC WA COMORO

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amekutana na Mhe. Youssoufa Mohamed Ali, Katibu Mkuu wa Convention for the Renewal of the Comoros (CRC), chama tawala nchini Comoro. Mazungumzo hayo ya pande mbili, yaliyohusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya vyama hivyo, serikali na nchi hizo […]

KITAIFA
October 26, 2024
184 views 2 mins 0

BALOZI NCHIMBI AWAFARIJI MZEE MAKAMBA NA FAMILIA YA MWAMBI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amemtembelea na kuzungumza na Mzee Yusuf Makamba leo, tarehe 25 Oktoba 2024, jijini Dar es Salaam. Balozi Nchimbi alifika nyumbani kwa Mzee Makamba, eneo la Wazo Hill, kumfariji kufuatia msiba wa mtoto wake, Bi. Sakida Rajab Yusuf Makamba, aliyefariki […]

KITAIFA
October 06, 2024
102 views 2 mins 0

UDINI NI HATARI,KUCHOMA NGUO NI UTOTO

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amewahimiza Watanzania kuendelea kushirikiana na CCM, akisisitiza kuwa chama hicho kimeonyesha kwa vitendo uwezo wa kuongoza nchi na dhamira ya kuwahudumia wananchi wanyonge. Dkt. Nchimbi alitoa kauli hiyo wakati akizungumza na wananchi wa Kata ya Lamadi, Wilaya ya Busega […]

KITAIFA
July 11, 2024
186 views 3 mins 0

BALOZI NCHIMBI AONYA VIONGOZI KUTOA KAULI ZA KIBAGUZI

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amewataka viongozi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuepuka kutoa kauli au kufanya vitendo vyenye taswira inayoweza kutafsiriwa kuwa baadhi yao wanashabikia ukandamizaji wa haki za wananchi. Katibu Mkuu Balozi Dkt. Nchimbi amesisitiza kuwa maneno na vitendo vya […]

KITAIFA
July 01, 2024
183 views 2 mins 0

RAIS MSTAAFU KIKWETE ATOBOA SIRI YA USHINDI WA CCM

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema anafurahishwa na namna makada, wanachama na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, wanavyoendeleza umoja miongoni mwao. Rais Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, […]

KITAIFA
June 06, 2024
173 views 7 secs 0

PROF MKENDA:MAAGIZI YA DR NCHIMBI KUHUSU BOOM TUTATEKELEZA HARAKA

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Amesema Wizara yake imepokea maelekezo ya Katibu Mkuu wa CCM Balozi dkt Emanuell Nchimbi kuhusu suala la boom kwa wanafunzi wa vyuo nchini. Dr Nchimbi akiwa eneo la Usa River Wilaya ya Arumeru alitoa maagizo kwa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kuhakikisha wanafunzi wa vyuo wanalipwa fedha hizo ifikapo mwisho […]

KITAIFA
June 02, 2024
237 views 42 secs 0

DKT NCHIMBI AZINDUA SHINA LA WAKEREKETWA WAJASIRIAMALI WA TARIME GROUP

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi akizindua Shina la Wakereketwa Wajasiriamali wa Tarime Group, lenye wanachama 200, eneo la Makuyuni, Wilaya ya Monduli, mkoani Arusha. Balozi Nchimbi amewasili na kupokelewa Arusha leo Jumapili, Juni 2, 2024, tayari kuanza ziara ya siku tatu mkoani humo, ikiwa ni mwendelezo wa ziara […]

KITAIFA
May 29, 2024
217 views 43 secs 0

SAMIA KUPITIA NCHIMBI AKAMILISHA.AHADI MRADI WA UCHUMI MANYONI

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk Samia Suluhu Hassan leo kupitia Katibu Mkuu wa chama hicho Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi amekipatia chama wilaya ya Manyoni zaidi ya shilingi millioni 18 kwa ajili ya kuezeka jengo lake la kitega uchumi. Katibu Mkuu wa CCM alitangaza hayo mbele ya Kamati […]

KITAIFA
May 27, 2024
131 views 3 mins 0

BALOZI DK NCHIMBI:MFUMO WA ELIMU UTAWASAIDIA.WATANZANIA KUSHINDANA KIMATAIFA

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, amesema mageuzi makubwa ya mfumo wa elimu ya Tanzania yanayofanywa na Serikali ya CCM chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan yataweka msingi imara wa mabadiliko yatakayowasaidia vijana wa Kitanzania kushindana […]