KITAIFA
March 27, 2024
229 views 2 mins 0

Majaliwa: Ni suala la muda tu ujenzi wa reli ya kati

DAR ES SALAAM: Waziri Mkuu , Kassim Majaliwa amesema mradi wa Ujenzi wa Reli ya kati mpaka sasa umeshafika maeneo yote yanayopaswa kufikiwa. Majaliwa amesema hayo leo Machi 27, 2024 akihitimisha kampeni ya Kurasa 365 za mama katika ukumbi wa Mlimani City Dar es salaam. Amesema, โ€˜tuna mradi mkubwa wa ujenzi wa reli ya kati […]

BIASHARA, KITAIFA
February 26, 2024
284 views 2 mins 0

TPA YASAINI MKATABA WA KUHIFADHI NA KUSAMBAZA BIDHAA ZA MAFUTA KATIKA BANDARI YA DAR ES SALAAM

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Mamlaka ya Usimamizi wa bandariย  Tanzania TPA imeingia mkataba wa ujenzi wa matenki na Miundombinu ya kupokelea,kuhifadhi na Usambazaji wa bidhaa ya mafuta Katika bandari ya Dar es salaam Waziri wa uchukuzi Mhe prof Makame Mbarawa ameshuhudia utiaji Saini wa mkataba huo wa matenki 15 utakaogharimu shiringi bilioni 678 […]

BIASHARA, KITAIFA
February 26, 2024
434 views 3 mins 0

TRC WAFANYA MAJARIBIO YA TRENI YA UMEME KUTOKA DAR KUELEKEA MOROGORO

SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) hii leo,limezindua rasmi Treni ya umeme ya Abiria kutoka Stesheni Jijini Dar es salaam kuelekea Mkoani Morogoro. Safari hiyo ilianza mnamo mida ya saa nne na Nusu na kuwasili Mkoani Morogoro mida ya saa sita na nusu. Shirika la reli Tanzania TRC limeanza kufanya majaribio ya uendeshwaji wa Treni za […]

KITAIFA
January 16, 2024
385 views 2 mins 0

MKURUGENZI WA BANDARI MRISHO,TPA TUNAJIVUNIA KUPOKEA MELI KUBWA YA WATALII

Mkurugenzi wa Bandari ya Dar es Salaam, Mrisho Seleman Mrisho amesema kuwa wao kama bandari wanajivunia kupokea meli kubwa ya watalii kwakuwa matarajio yao ni kupokea meli kubwa zaidi ya hiyo kwani tayari wameshafanya maboresho kadhaa ikiwemo kuongeza kina cha maji na mengine tofauti na ilivyokuwa awali kabla ya maboresho. Akizungumza na waandishi wa habari […]

KITAIFA
January 16, 2024
397 views 2 mins 0

MELI KUBWA YA NORWEGIAN DAWN IMEINGIA DAR ES SALAAM IKIWA NA WATALII 2,210

Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania, Damasi Mfugale amesema kuwa utalii wa meli ambao kwa sasa ni zao la kimkakati nchini unakwenda kukua kwa kiasi kikubwa kadri siku zinavyokwenda ambapo idadi ya watalii itaendelea kuongeza. Mfugale ameyasema hayo leo Januari 16, 2024 wakati wa mapokezi ya meli kubwa iliyotia nanga katika bandari ya Dar […]

KITAIFA
January 15, 2024
291 views 5 mins 0

MRISHO:KWA MWAKA HUU WA FEDHA 2023/24 UNATARAJIA KUHUDUMIA MAKASHA ZAIDI YA MILIONI MOJA NA LAKI 2

Mkurugenzi wa Bandari, Mrisho Mrisho amesema kwa mwaka huu wa fedha, 2023/24 wanatarajia kuhudumia makasha zaidi ya Milioni Moja na laki mbili. Alisema kwa mwaka wa fedha 2022/23 Bandari ya Dar es Salaam walihudumia shehena Tani milioni 21.46, na malengo kwa mwaka uliopita ilikuwa ni kuhudumia Tani milioni 19.6 ambapo Tani hizo walizozihudumia walifanikuwa kuvuka […]

KITAIFA
January 09, 2024
247 views 2 mins 0

TRC LAENDELEA ZOEZI LA ULIPAJI FIDIA KWA WANANCHI WANAOPISHA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA RELI YA KIMATAIFA YA SGR

Shirika la Reli Tanzania limeendelea na zoezi la ulipaji fidia kwa wananchi ambao ardhi zao zimetwaliwa kupisha ujenzi wa miundombinu ya Reli ya Kimataifa ya SGR katika kipande cha tatu Makutupora -Tabora hivi karibuni ,Januari, 2024. Katika zoezi hilo la ulipaji fidia takribani wananchi 70 kutoka katika vijiji vya Azimio, Nyahua, Kimungi, Kazaroho, Genge 8 […]

BIASHARA, KITAIFA
January 04, 2024
252 views 3 mins 0

MATINYI:AFURAHISHWA NA TRC KUSIMAMIA VYEMA UJENZI WA RELI WENYE UBORA

Msemaji Mkuu wa Serikali ambae pia ni Mkurugenzi Idara ya Habari Maelezo Bwana Mobhare Matinyi ametembelea ujenzi wa Reli ya Kimataifa SGR kipande cha kwanza Dar Es Salaam – Morogoro katika stesheni ya Dar Es Salaam, January 03, 2024. Lengo la ziara hiyo nikujionea maendeleo ya ujenzi wa Reli ya SGR pamoja na kufahamu maandalizi […]

KITAIFA
December 30, 2023
265 views 2 mins 0

TRC WAPOKEA VICHWA VITATU VYA TRENI ZA UMEME

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Shirika la Reli Tanzania TRC Leo limepokea vichwa vipya vitatu vya treni za umeme ambavyo vilivyoundwa na kampuni ya Hyundai Rotem na mabehewa mapya 27 ya abiria yaliyoundwa na kampuni ya sung shin rolling stock Technology (SSRST) kutoka Nchini Korea kusini. Aidha serikali Kupitia shirika la reli ilifanya manunuzi […]