BARAZA LA USHAURI DSM LAPITISHA RASIMU YA BAJETI, 2025/2026 ZAIDI YA BILIONI 848
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Baraza la Ushauri la Mkoa wa Dar es Salaam (RCC) limepitisha rasimu ya bajeti yake ya mapato na matumizi ya kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni 848 kwa mwaka wa fedha 2025/2026 itakayotoa dira ya utoaji huduma muhimu za kijamii pamoja na matumizi ya mishahara kwa watumishi Akizungumza wakati waย kuwasilisha […]