UWEKEZAJI SEKTA YA NISHATI TANZANIA KUNUFAISHA NCHI WANACHAMA EAPP – MHE.KAPINGA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ashiriki Mkutano wa Nchi Wanachama wa EAPP nchini Kenya* Aeleza jinsi Tanzania inavyotekeleza miradi ya umeme kwa ufanisi* Asema zaidi ya asilimia 99 ya Vijiji nchini vimesambaziwa umeme* Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judidhi Kapinga amesema uwekezaji uliofanyika kwenye Sekta ya nishati nchini Tanzania katika kipindi cha miaka mitatu itazinufaisha Nchi Wanachama […]