KITAIFA
December 17, 2024
47 views 3 mins 0

WATAALAM WA UNUNUZI NA UGAVI CHUKIENI RUSHWA, FANYENI KAZI KWA UWAZI – DKT. BITEKO

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Atahadharisha vitendo vya rushwa kwenye Manunuzi* Dkt. Biteko afungua Kongamano la 15 la Wataalam wa Ununuzi na Ugavi* Ataka wasikilize sauti za watu, kutathimini utendaji kitaaluma* Naibu Waziri Mkuu na  Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka wataalam wa ununuzi na ugavi nchini kizingatia misingi ya maadili ya taaluma yao […]

KITAIFA
December 11, 2024
43 views 2 mins 0

ARUSHA WAMSHUKURU RAIS SAMIA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Majiko ya Gesi ya Ruzuku yawafikia Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha wamemshukuru Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mradi wa kusambaza majiko ya gesi kwa bei ya ruzuku ya 50% katika halmashauri hiyo. Wametoa pongezi hizo Desemba 10, 2024 wakati wa utekelezaji wa mradi wa kusambaza majiko ya […]

KITAIFA
December 09, 2024
57 views 58 secs 0

NGORONGORO WATHIBITISHA KUACHANA NA KUNI INAWEZEKANA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wajitokeza kwa wingi kujipatia majiko ya gesi ya ruzuku Wakazi wa Wilaya ya Ngorongoro Mkoani Arusha wameitikia wito wa kutumia Nishati Safi ya Kupikia ikiwa ni hatua ya kuunga mkono jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kulinda afya na kutunza mazingira. Hayo […]

KITAIFA
December 07, 2024
63 views 2 mins 0

WATUMISHI REA WATAKIWA KUFANYA KAZI KUENDANA NA KASI YA SERIKALI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asisitiza kuongeza ubunifu na kuzingatia maadili ya utumishi wa umma Awataka kujiepusha na vitendo vya uvunjifu wa maadili Wizara ya Nishati yaipongeza REA kwa utekelezaji wa miradi Watumishi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wametakiwa  kufanya kazi kwa uadilifu, ubunifu, juhudi, maarifa na upendo ili kuendana na kasi ya Serikali ya […]

KITAIFA
November 22, 2024
45 views 59 secs 0

REA YAWAHAKIKISHIA UPATIKANAJI WA MITUNGI YA GESI YA KILO SITA NCHI NZIMA

Na Mwandishi Wetu Mitungi ya gesi zaidi ya 13,000 kusambazwa Songwe Kila wilaya kupatiwa mitungi ya gesi 3,255 Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeingia mkataba na mtoa huduma kampuni ya Oryx Gas Tanzania Limited ambaye atahudumia wilaya zilizopo ndani ya Mkoa wa Songwe kwa kuuza kwa bei ya ruzuku mitungi ya gesi ya kilo sita […]

KITAIFA
November 19, 2024
58 views 48 secs 0

REA KUSHIRIKIANA NA NJOMBE KUSAMBAZA MITUNGI YA GESI ZAIDI YA 13,000

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kila wilaya kusambaziwa mitungi ya gesi 3,255 Elimu ya nishati safi kuendelea kutolewa 📍Njombe Mkoa wa Njombe umeahidi kushirikiana na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika kusambaza mitungi ya gesi ya kupikia13,020 ili wananchi watumie nishati safi na salama. Hayo yamezungumzwa leo Novemba 19, 2024 na Kaimu Katibu Tawala,  Mha. Joseph […]

KITAIFA
November 19, 2024
58 views 2 mins 0

RC SERUKAMBA AIUNGA MKONO REA UGAWAJI MITUNGI YA GESI 9800 IRINGA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA REA yahamasisha ujenzi wa vituo vidogo vya mafuta maeneo ya vijijini Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Peter Serukamba ameunga mkono juhudi za Wakala wa Nishati Vijijini (REA) za kusambaza mitungi ya gesi ya kupikia ipatayo 9,800 mkoani humo itakayoendelea kuhamasisha na kuchochea matumizi ya nishati safi ya kupikia. Mhe. Serukamba […]

KITAIFA
November 07, 2024
64 views 4 mins 0

BILIONI 11 KUSAMBAZA UMEME KWENYE VITONGOJI SHINYANGA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kunufaisha kaya 2,970 kutoka kwenye vitongoji 90 ndaniya wilaya tatu, RC Macha asema umeme ni kipaumbele cha Rais Samia -SHINYANGA SERIKALI kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatekeleza mradi wa Shilingi bilioni 11.18 wa kusambaza umeme katika vitongoji 90 utakaonufaisha kaya 2,970 mkoani Shinyanga. Hayo yalisemwa jana na Msimamizi wa Miradi […]

KITAIFA
November 02, 2024
51 views 2 mins 0

RAIS SAMIA AZIWEZESHA SEKTA BINAFSI KITEKELEZA MIRADI YA UMEME

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Shilingi bilioni 2 zimetolewa na REA kuendeleza mradi Utunzaji wa mazingira umepewa kipaumbele kwenye utekelezaji wa miradi Makete – Njombe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameipa kipaumbele sekta binafsi kutekeleza miradi ya nishati ya umeme kwa kuwekeza katika sekta hiyo na kuwezesha fedha ili […]

KITAIFA
October 29, 2024
48 views 22 secs 0

DKT BITEKO AIPONGEZA REA UTEKELEZAJI MIRADI YA NISHATI

Na Mwandishi Wetu Ni ya upelekaji umeme kwenye vijiji, vitongoji na Nishati Jadidifu* Yawa kinara matokeo ya tathmini ya utendaji kazi kwa Taasisi za Wizara ya Nishati* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameupongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kufanya vizuri katika utekelezaji wa majukumu yake ikiwemo usambazaji umeme […]