BARABARA YA TANGA-KILOSA-MIKUMI-LUPEMBE KUPANDISHWA HADHI KUWA BARABARA KUU ‘TRUNK ROAD’
MOROGORO Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi Mhandisi Aisha Amour kuipandisha hadhi barabara ya Tanga – Kilosa – Mikumi – Lupembe – Njombe kuwa barabara kuu ‘Trunk Road’ ili kuinua uchumi katika mikoa yaTanga, Morogoro na Njombe ambapo barabara hiyo inapita. Bashungwa, ameyasema hayo wakati anakagua Ujenzi wa […]