WANANCHI WATAKIWA KITUNZA NA KULINDA MIUNDOMBINU YA BARABARA
Na Catherine Sungura,Chamwino Ujenzi wa barabara za Chamwino umezingatia watembea kwa miguu na wanaofanya mazoezi Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mhandisi Victor Seff amewaomba wananchi kutunza na kulinda miundombinu ya barabara ikiwemo taa za barabarani. Mhandisi Seff ametoa wito huo wakati wa ukaguzi wa barabara zilizojengwa na TARURA kwa […]