BARABARA YA ILOLO-NDOLEZI YAONDOA WALANGUZI WA MAZAO, MBOZI
📌Ni mradi wa Agri- Connect uliofungua fursa za kiuchumi Mbozi, Songwe Walanguzi wa mazao ya wakulima wa kahawa, mahindi, mbogamboga na karanga wameondoka baada ya kukamilika kwa ujenzi wa barabara ya Ilolo-Ndolezi yenye urefu wa Km 11.01 kwa kiwango cha lami katika halmashauri ya wilaya ya Mbozi mkoani Songwe. Wakiongea kwa nyakati tofauti baadhi ya […]