WASANII WA FILAMU WAPONGEZWA KWA KUBEBA MAONO YA RAIS SAMIA KATIKA KUTANGAZA UTALII
Na. Joyce Ndunguru, Dar es Salaam Umoja wa Waigizaji Mkoa wa Dar es Salaam wapongezwa kwa kubeba maono ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kutangaza utalii. Maneno haya yamesemwa Novemba 2, 2024 na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Saad Mtambule katika tamasha la “Shtuka, boresha afya ya […]