DC BARIADI AKEMEA VIKALI VITENDO VYA KUCHUNGIA MIFUGO NDANI YA HIFADHI
Na Mwandishi wetu, Bariadi -Simiyu Mkuu wa Wilaya ya Bariadi Mhe. Simon Simalenga amekemea vikali vitendo vya baadhi ya wafugaji wilayani humo kuchungia mifugo ndani ya Hifadhi hususani Pori la Akiba Maswa huku akisisitiza kuwa wilaya hiyo sio sehemu salama kwa watu wanaofanya ujangili na wanaovunja sheria, kanuni na taratibu zilizowekwa kwa ajili ya kulinda […]