DKT BITEKO ATAKA MISINGI BORA YA MALEZI KWA WATOTO
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema ikiwa jamii haifanya hivyo kuna hatari ya kuzalisha viongozi katili kwa Taifa la kesho, aipongeza NMB kuunga mno kampeni ya Mtoto wa leo Samia wa kesho TANGA NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt.Doto Biteko amewataka wazazi na walezi nchini kuhakikisha wanalea watoto wao katika misingi iliyo bora ili […]