KAMATI YA BUNGE YAJIONEA NAMNA WMA INAVYOSIMAMIA SEKTA YA MAFUTA BANDARINI
Na Veronica Simba – WMA, Dar es Salaam Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, leo Oktoba 7, 2024 imefanya ziara katika Bandari ya Dar es Salaam na kujionea pamoja na mambo mengine, namna Wakala wa Vipimo (WMA) wanavyosimamia sekta ya mafuta. Meneja wa WMA Kitengo cha Bandari, Alfred Shungu amewaeleza […]