KITAIFA
March 03, 2025
33 views 4 mins 0

TANZANIA YAVUNJA REKODI ONGEZEKO LA WANYAMAPORI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amesema ongezeko la idadi ya Wanyamapori katika hifadhi za Wanyama hapa nchini imetokana na juhudi za serikali kushirikisha wadau wa uhifadhi wa Wanyamapori na wananchi kwa ujumla hali iliyopelekea kukua kwa utalii na uchumi katika Taifa. Ameyasema hayo leo Machi 03, […]

KITAIFA
February 19, 2025
51 views 3 mins 0

TANZANIA NA MISRI KUSHIRIKIANA KUKUZA  SEKTA YA UTALII

Na Happiness Shayo- Dar es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  na Jamhuri ya Kiarabu ya Misri,  zimekutana kujadiliana namna bora ya kushirikiana katika kukuza na kuendeleza utalii baina ya nchi hizo mbili. Hayo yamejiri leo Februari 18,2025 jijini Dar es Salaam katika kikao kati ya  Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, […]

KITAIFA
February 16, 2025
71 views 2 mins 0

WIZARA YATAKIWA KUBUNI MAZAO MAPYA YA UTALII KWENYE ENEO LA AMBONI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kamati ya Kudumu ya Bunge ya  Ardhi, Maliasili na Utalii imeitaka Wizara ya Maliasili na Utalii kubuni mazao mapya ya Utalii ili kuwavutia watalii  huku ikisisitiza kwamba inatamani watalii wanaotoka   Zanzibar kwenda kutalii katika eneo la Mapango ya Amboni yaliyopo jijini Tanga. Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii Mhe. […]

KITAIFA
October 16, 2024
114 views 16 secs 0

WAZIRI CHANA TAWIRI NI MOYO WA UHIFADHI WA WANYAMAPORI NCHINI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana(Mb) amesema Serikali imekuwa ikitumia  takwimu za kisayansi kufanya maamuzi yaliyojikita kuimarisha uhifadhi wa Wanyamapori ili kuwa na  Utalii endelevu. Mhe.Chana ametoa kauli hiyo leo Oktoba 16,2024  Jijini Arusha wakati akizungumza na Menejimenti yaTaasisi  ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI) Njiro – […]

KITAIFA
October 09, 2024
176 views 15 secs 0

WAZIRI CHANA ATETA NA BALOZI CHEN

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt.Pindi Chana (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China nchini Tanzania,  Mhe. Chen Mingjian kuhusu kushirikiana katika maeneo mbalimbali ya Sekta ya Maliasili na Utalii hususan kuwekeza kwenye maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya uwekezaji. Kikao hicho kimefanyika leo Oktoba 9, 2024 Mkoani […]

KITAIFA
September 27, 2024
238 views 8 secs 0

SERIKALI MAKINI KUDHIBITI CHANGAMOTO ZA WANYAMAPORI WAKALI-MHE CHANA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Balozi, Dkt. Pindi Chana amesema Serikali imejidhatiti katika utatuzi wa changamoto ya migongano kati ya wanyamapori na binadamu chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ameyasema hayo leo Septemba 27, 2024  katika Semina ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) […]

KITAIFA
September 21, 2024
247 views 2 mins 0

UJENZI WA BARABARA YA IRINGA-MSEMBE KUFUNGUA UTALII NYANDA ZA JUU KUSINI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Na Happiness Shayo – Iringa Ujenzi wa Barabara ya Iringa – Msembe (km 104) kwa kiwango cha lami uliogharimu takribani shilingi bilioni 142.56 utasaidia  kukuza utalii wa  Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini hasa katika Hifadhi ya Taifa Ruaha kwa kurahisisha ufikaji wa watalii katika hifadhi hiyo. Hayo yamesemwa leo Septemba […]

KITAIFA
September 17, 2024
161 views 2 mins 0

WAZIRI CHANA AKABIDHI MADAWATI 90 SHULE YA MSINGI MANGA WILAYANI LUDEWA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe, Mhe. Balozi,Dkt. Pindi Chana amekabidhi madawati 90 yenye thamani ya shilingi milioni 7  kwa Shule ya Msingi Manga iliyopo katika Kijiji cha Manga, Wilayani Ludewa Mkoani Njombe leo Septemba 17, 2024. Madawati hayo yametolewa kwa udhamini […]

KITAIFA
September 16, 2024
175 views 2 mins 0

MHE.CHANA AZINDUA ZAHANATI YA IVILINGIKE-MAKETE

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amezindua rasmi zahanati ya Ivilikinge iliyopo Wilayani Makete Mkoani Njombe sambamba na kukabidhi vifaa mbalimbali vya hospitali vilivyotolewa na Benki ya NMB. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi huo, leo Septemba 16,2024, Mhe. Chana […]

KITAIFA
September 10, 2024
238 views 2 mins 0

MRADI WA IWT WAKABIDHI MIZINGA 300 KWA WAGA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mradi wa Kupambana na Ujangili na Biashara Haramu ya Wanyamapori (IWT) ulio chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii, umekabidhi mizinga  ya kisasa 300, vifaa mbalimbali vya kufugia nyuki na kusindika asali  vyenye gharama ya shilingi milioni 50 kwa Jumuiya za Hifadhi ya Wanyamapori (WAGA). Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. […]