KITAIFA
March 15, 2025
9 views 4 mins 0

TANZANIA, BARBADOS KUIMARISHA USHIRIKIANO

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐Ÿ“Œ Dkt. Biteko afanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Barbados ๐Ÿ“Œ Wakubaliana kuwekeza katika Ushirikiano Sekta ya Utalii na Maji ๐Ÿ“Œ Nishati Safi ya Kupikia, M300 kivutio cha mazungumzoย  Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Barbados, Mhe. Mia […]

KITAIFA
March 15, 2025
8 views 4 secs 0

DKT. BITEKO AKUTANA NA MTENDAJI MKUU WA CLIMATE INVESTMENT FUNDS

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Climate Investment Funds (CIF) Bi. Tariye Gbadegesin Mjini Bridgetown, Barbados. Mazungumzo hayo yamefanyika leo Machi 14, 2025 kando ya Mkutano wa Kimataifa wa kuhusu upatikanaji wa Nishati endelevu kwa wote […]

KITAIFA
March 14, 2025
20 views 3 mins 0

UMEME WA JOTOARDHI KUUNGANISHWA KWENYE GRIDI YA TAIFA IFIKAPO 2030 – MRAMBA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐Ÿ“Œย  *Mikoa 16 kunufaika na Nishati ya Jotoardhi* ๐Ÿ“Œย  *SEforALL yatakiwa kuwekeza katika utafiti na ubunifu* Tanzania imelenga kuunganisha nishati ya jotoardhi kwenye gridi ya taifa ifikapo mwaka 2030 ili kuwa na umeme wa uhakika unaotokana na nishati jadidifu kuelekea Dira ya Tanzania 2025 ambayo inasisitiza maendeleo endelevu ya nishati kama […]

KITAIFA
March 14, 2025
18 views 4 mins 0

SEforALL KUIMARISHA USHIRIKIANO UPATIKANAJI NISHATI ENDELEVU

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐Ÿ“Œ  Dkt. Biteko asema Nishati Safi ya Kupikia ni ajenda endelevu ๐Ÿ“Œ  Rais wa Sierra Leone asema ukombozi wa maeneo ya vijijini ni muhimu kufikia maendeleo ๐Ÿ“Œ  Waziri Mkuu wa Barbados apendekeza ushirikiano wa kimataifa kumaliza changamoto  za nishati Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Viongozi mbalimbali wanaoshiriki mkutano […]

KITAIFA
March 12, 2025
16 views 11 secs 0

DKT. BITEKO AWASILI BARBADOS KUNADI NISHATI SAFI KIMATAIFA*

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewasili nchini Barbados kushiriki Mkutano wa Kimataifa kuhusu matumizi ya Nishati endelevu utakaofanyika katika jiji la Bridgetown kuanzia tarehe 12 hadi 14 Machi, 2025. Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Grantley Adams nchini humo, Dkt. Biteko amepokelewa na Waziri […]

KITAIFA
March 07, 2025
29 views 52 secs 0

NISHATI SAFI YARAHISISHA ZOEZI LA UCHOMAJI NYAMA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wafanyabishara wa nyama choma Jijini Arusha wamesema kuwa  uchomaji nyama kwa kutumia majiko ya Nishati Safi ya kupikia kumerahisisha zoezi la uchomaji na kuongeza ladha ya nyama. Wamesema kuwa majiko  hao yamekuwa yakichoma kiasi kikubwa cha nyama kwa Muda Mfupi tofauti na awali walipokuwa wakitumia majiko mengine. Wamesema pamoja na Gesi […]

BIASHARA, KITAIFA, video
March 07, 2025
36 views 3 mins 0

DKT.MWINYI AZIHAMASISHA NCHI ZA EAC KUANZISHA MIFUKO YA MAENDELEO YA PETROLI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐Ÿ“Œ *Asema lengo ni kuwa na uhakika wa kuendeleza Sekta ya Mafuta na Gesi Asilia* ๐Ÿ“Œ *Afunga Kongamano na Maonesho ya Petroli ya Afrika Mashariki* ๐Ÿ“Œ *Ataka Rasilimali na Mafuta na Gesi Asilia kuchangia maendeleo ya Sekta nyingine* Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi […]

KITAIFA
March 07, 2025
29 views 2 mins 0

TUTAENDELEA KUTENGENEZA SERA  RAFIKI KUVUTIA UWEKEZAJI  SEKTA YA MAFUTA NA GESI ASILIA-KAMISHNA SHIRIMA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐Ÿ“Œ *Asema Sekta ya Mafuta nchini imeimarika* ๐Ÿ“Œ *Ataja miradi ya kimkakati ujenzi wa mabomba ya gesi na mafuta* Kamishna wa Petroli, Goodluck Shirima amesema kuwa, Tanzaniaย  imejipanga vyemaย  kutengeneza sera rafiki zitakazozidi kuvutia uwekezaji kwenye sekta ya Mafuta na Gesi Asilia ambazo zitawezesha pia kupata mitaji ya kuendesha Sekta kwa […]

KITAIFA
March 07, 2025
23 views 2 mins 0

SERIKALI KUJENGA MTANDAO MKUBWA WA MABOMBA YA GESI-DKT.BITEKO

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐Ÿ“Œ *Asema lengo ni kurahisisha huduma kwa Wananchi* ๐Ÿ“Œ *Afanya mazungumzo na kampuni Rashal Energies inayojenga Bomba la Gesi Kisemvule-Mbagala* ๐Ÿ“Œ *Aikaribisha kampuni ya CNOOC ya China kushiriki Duru a Tano Vitalu vya Mafuta na Gesi Asilia* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya […]