KITAIFA
January 05, 2025
60 views 58 secs 0

ULEGA ATOA WIKI MBILI WAKANDARASI MIRADI YA DHARURA WAWE SITE

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ametoa wiki mbili kwa wakandarasi wote nchini waliopata ujenzi wa miradi ya dharura Contigency Emegency Response Component (CERC),kuanza kazi mara moja. Amesema hayo leo wakati akikagua barabara ya Arusha-Holili ambayo iliathiriwa na mvua katika maeneo ya Kwamsomali na King’ori. “Mhe. Rais ametoa zaidi ya shilingi bilioni […]

KITAIFA
January 05, 2025
64 views 37 secs 0

ULEGA ATOA SAA 72 MAWASILIANO DARAJA LA GONJA MPIRANI YAREJEE

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA w Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ametoa saa 72 kwa Wakala ya Barabara nchini (TANROADS) mkoa wa Kilimanjaro kurejesha mawasiliano katika daraja la Gonja Mpirani. Hatua hiyo inafuatia kuvunjika kwa daraja hilo hivi karibuni kufuatia mvua  zinazoendelea kunyesha katika safu ya milima ya Pare Wilayani Same. ” Ndugu zangu poleni sana […]

KITAIFA
January 05, 2025
61 views 3 mins 0

ULEGA ATAKA WAZAWA WAPEWE KIPAUMBELE UJENZI WA BARABARA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri  wa Ujenzi Abdallah Ulega amewataka Wakala wa Barabara  Tanzania (TANROADS), kuhakikisha unatoa kipaumbele kwa vijana wazawa katika ujenzi wa miradi ya barabara inayoendelea nchini ili kupata ajira, kukuza ujuzi na uchumi kwa watanzania. Akizungumza na wananchi wa Kata ya Ndungu  wilayani Same katika hafla ya kumkabidhi Mkandarasi China Communication Construction […]

KITAIFA
January 02, 2025
78 views 2 mins 0

WAZIRI ULEGA AMBANANISHA MKANDARASI BARABARA YA TUNGAMAA – MKANGE, MKANDARASI AOMBA RADHI AJIPANGE UPYA.

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta kumpa ripoti ya kitaalam kuhusu kasi ya ujenzi usioridhisha kwa Mkandarasi M/s China Railway 15 Bureau Group Corporation anayejenga barabara ya Tungamaa-Mkwaja-Mkange Km 95.2 ambayo ni sehemu ya barabara ya Tanga-Pangani-Bagamoyo ili achukue hatua […]

KITAIFA
October 24, 2024
108 views 3 mins 0

MKAKATI UJENZI WA DARAJA LA JANGWANI RAIS DKT SAMIA APONGEZWA KILA KONA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Serikali imesaini mkataba wa ujenzi wa Daraja la Jangwani lenye urefu wa mita 390 na barabara za maungio zenye urefu wa mita 700 katika barabara ya Fire – Ubungo kwa gharama ya Shilingi Bilioni 97.1 ambapo kazi ya ujenzi itatekelezwa kwa miezi 24. Mkataba huo umesainiwa juzi Oktoba 22, 2024 Mkoani […]

KITAIFA
October 09, 2024
123 views 2 mins 0

DKT MPANGO AIPA HEKO TANROADS AWEKA JIWE LA MSINGI KIWANJA CHA NDEGE TABORA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt. Philip Mpango ameweka jiwe la msingi mradi wa ujenzi na upanuzi wa Kiwanja cha ndege Tabora na kuipongeza Wizara ya Ujenzi wa kazi wanayoifanya katika mradi huo. Akizungumza leo tarehe 9 Octoba 2024 mara baada ya kukagua na kuweka jiwe […]

KITAIFA
October 03, 2024
144 views 2 mins 0

MATHIAS CANAL AMPA MAUA YAKE DKT MWIGULU ACHANGIA MIL 4.2 SHULE YA MSINGI KIOMBOI HOSPITAL WILAYANI IRAMBA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mwandishi wa habari wa WazoHuru Media Ndg Mathias Canal amewata wananchi Mkoani Singida kuendelea kumuunga mkono Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibu ambaye ni Waziri wa Fedha Mhe. Dkt Mwigulu Lameck Nchemba kutokana na kazi nzuri anayoendelea kuifanya katika Taifa la Tanzania. Amewataka wananchi kumuombea, kumtia moyo na kumpa ushirikiano ili […]