HABARI KUBWA

WAZIRI MKUU ATOA WITO KWA WAANDISHI WA HABARI NCHINI



_▪️Awataka watumie akili mnemba kama nyenzo na si kikwazo cha uhuru wao_▪️

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Waandishi wa Habari nchini kutumia Akili Mnemba (Artificial Inteligence) kama nyenzo ya kuwawezesha kutekeleza majukumu yao ipasavyo na sio kikwazo cha uhuru wao.

Amesema kuwa katika dunia ya sasa, vyombo vya habari vinakutana na changamoto mpya zinazotokana na maendeleo ya teknolojia, ambapo akili mnemba inachukua nafasi kubwa katika uzalishaji na usambazaji wa habari.

Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Jumanne, Aprili 29, 2025) katika Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, ambayo kitaifa inafanyika Jijini Arusha kwenye Hoteli ya Gran Melia.

Waziri Mkuu amesema Serikali inaendelea kuandaa sera maalum ya Akili Mnemba, ambayo itatoa.

Tangaza hapa-3
Email
Twitter
META
WhatsApp

WAZIRI MKUU ATOA WITO KWA WAANDISHI WA HABARI NCHINI

_▪️Awataka watumie akili mnemba kama nyenzo na si kikwazo cha uhuru wao_▪️ WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Waandishi wa Habari nchini kutumia Akili Mnemba (Artificial Inteligence) kama nyenzo ya kuwawezesha kutekeleza majukumu yao ipasavyo na sio kikwazo cha uhuru wao. Amesema kuwa katika dunia ya sasa, vyombo vya

WAZIRI MKUU: TUNATAKA KILA MWANANCHI APATE KITAMBULISHO CHA TAIFA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema mkakati wa Serikali ni kumwezesha kila Mtanzania apate kitambulisho cha Taifa akiwa kijijini kwake. Amesema hayo leo (Alhamisi, Mei 11, 2023) bungeni wakati akijibu swali la Mbunge wa Biharamulo Magharibi, Mhandisi Ezra Chiwelesa kwenye kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu.  Mbunge

YST YAPOKEA MAOMBI 1516 YA WANASAYANSI CHIPUKIZI

Na Penina Malundo SHIRIKISHO la Wanasayansi Chipukizi (YST),limepokea idadi kubwa ya maombi ya kazi za kisayansi kutoka kwa wanafunzi  kushiriki mashindano ya sayansi yanayofikia 1,516 kwa mwaka 2025 ukilinganisha na mwaka uliopita mapmbi 1055. Aliyasema hayo jana

Soma Zaidi
KITAIFA

MHE. MRAMBA: BIASHARA YA KUUZIANA UMEME KUINUFAISHA TANZANIA

📌Afafanua kuuuza na kununua umeme ni jambo la kawaida kwa nchi 📌Asisitiza kununua umeme kwa Mikoa ya Kaskazini kunamanufaa kwa Mikoa husika 📌Asema kukamilika kwa Mradi wa TAZA kutainufaisha Tanzania na biashara ya umeme Katibu Mkuu

BIASHARA

KAMISHNA TRA ATIMIZA SIKU 100 AKIAINISHA MAMBO 10

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Aeleza mkakati wa kuongeza wigo ukusanyaj nchini, amshukuru Rais Dkt. Samia kwa kumuamini DAR ES SALAAM KAMISHNA mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda ameelezzea siku 100 za utumishi wake