WAZIRI MKUU ATOA WITO KWA WAANDISHI WA HABARI NCHINI
_▪️Awataka watumie akili mnemba kama nyenzo na si kikwazo cha uhuru wao_▪️
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Waandishi wa Habari nchini kutumia Akili Mnemba (Artificial Inteligence) kama nyenzo ya kuwawezesha kutekeleza majukumu yao ipasavyo na sio kikwazo cha uhuru wao.
Amesema kuwa katika dunia ya sasa, vyombo vya habari vinakutana na changamoto mpya zinazotokana na maendeleo ya teknolojia, ambapo akili mnemba inachukua nafasi kubwa katika uzalishaji na usambazaji wa habari.
Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Jumanne, Aprili 29, 2025) katika Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, ambayo kitaifa inafanyika Jijini Arusha kwenye Hoteli ya Gran Melia.
Waziri Mkuu amesema Serikali inaendelea kuandaa sera maalum ya Akili Mnemba, ambayo itatoa.
DKT. BITEKO AKIHITIMISHA BAJETI YA WIZARA
YST YAPOKEA MAOMBI 1516 YA WANASAYANSI
NAIBU WAZIRI MKUU DKT. BITEKO AHIMIZA
“HII NI OPARESHENI YA NCHI NA
TANESCO YAANZA RASMI ZOEZI LA KULIPA


WAZIRI MKUU ATOA WITO KWA WAANDISHI WA HABARI NCHINI
_▪️Awataka watumie akili mnemba kama nyenzo na si kikwazo cha uhuru wao_▪️ WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Waandishi wa Habari nchini kutumia Akili Mnemba (Artificial Inteligence) kama nyenzo ya kuwawezesha kutekeleza majukumu yao ipasavyo na sio kikwazo cha uhuru wao. Amesema kuwa katika dunia ya sasa, vyombo vya
WAZIRI MKUU: TUNATAKA KILA MWANANCHI APATE KITAMBULISHO CHA TAIFA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema mkakati wa Serikali ni kumwezesha kila Mtanzania apate kitambulisho cha Taifa akiwa kijijini kwake. Amesema hayo leo (Alhamisi, Mei 11, 2023) bungeni wakati akijibu swali la Mbunge wa Biharamulo Magharibi, Mhandisi Ezra Chiwelesa kwenye kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu. Mbunge


YST YAPOKEA MAOMBI 1516 YA WANASAYANSI CHIPUKIZI
Na Penina Malundo SHIRIKISHO la Wanasayansi Chipukizi (YST),limepokea idadi kubwa ya maombi ya kazi za kisayansi kutoka kwa wanafunzi kushiriki mashindano ya sayansi yanayofikia 1,516 kwa mwaka 2025 ukilinganisha na mwaka uliopita mapmbi 1055. Aliyasema hayo jana
MRADI WA UMEME RUSUMO KUZINDULIWA FEBRUARY 2025
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Dkt. Biteko asema umekamilika kwa asilimia 99.9* Ataja
RC MAKONDA AMBANANISHA MENEJA WA RUWASA LONGIDO,ATHIBITISHA KUMTOMUHITAJI WILAYANI HAPO KUTOKANA NA UONGO PAMOJA NA UZEMBE WA USIMAMIZI WA MIRADI YA MAJI
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA ARUSHA Ikiwa ni mwanzo wa ziara yake Mkuu


MKANDARASI AMUANGUKIA RAIS SAMIA ADAI HAKI YAKE KUTOKA TANROAD
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA MMILIKI wa Kampuni ya Rohama 333, Mhandisi Owden Mwalyambi amemuangukia Rais Samia Suluhu Hassan kumuomba

WAZIRI MKUU ATOA WITO KWA WAANDISHI WA HABARI NCHINI
_▪️Awataka watumie akili mnemba kama nyenzo na si kikwazo cha uhuru wao_▪️ WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa

DKT. BITEKO AKIHITIMISHA BAJETI YA WIZARA YA NISHATI KWA MWAKA 2025/2026
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Aprili 29, 2025
AFANDE SELE:TUMETOKA KWENYE KILIMO CHA KULIALIA TUPO KWENYE KILIMO BIASHARA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA TANGA Msanii mkongwe nchini, Afande Sele akiwa Kilindi mkoani Tanga kwenye shamba la miche ameipongeza wizara ya kilimo chini ya Mhe. Hussein Bashe kwa maendeleo makubwa kwenye sekta ya kilimo nchini na
NCHIMBI AWAITA MAMBO YA NDANI ZIARA YAKE KUJIBU MASUALA YA NIDA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amemwagiza Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni au naibu wake kuungana nae kwenye ziara mkoani Kagera kwa ajili ya

MNDOLWA AHIMIZA WATUMISHI WA NIRC KUZINGATIA UBIRA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA SERIKALI.
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA MKURUGENZI Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, Bwana Raymond Mndolwa, amewataka wahandisi na watumishi wa Tume kuheshimu, kusimamia na kutekeleza miradi kwa viwango na ubora. Amesema ni aibu kwa taasisi kuwa

WIPO,ARIPO,UDSM,NA BRELA WAKUTANA KUTOA MAFUNZO KWA WADAU MBALIMBALI ILI KULETA CHACHU YA MAENDELEO
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA WAKALA wa Usajili wa Leseni za Biashara (BRELA), Shirika la Miliki Ubunifu ‘Duniani World Interllectual Property Organization’ (WIPO), Shirika la Miliki Buinfu Kanda ya Afrika (ARIPO)na Chuo Kikuu Cha

NDEGE AINA YA BOING KUWASILI KESHO KWA BASHASHA
Tanzania inatarajia kupokea ndege mpya ya abiria aina ya Boing B 737-9 Max ambayo itapokelewa katika kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Julias Nyerere Oktoba 3,2023. Mapokezi hayo yataenda sambamba na uzinduzi wa ndege mbili za

KAMATI YA BUNGE YASHAURI WIGO ZAIDI FURSA ZA AJIRA ZA WATANZANIA NJE YA NCHI
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeishauri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu kupitia Kitengo cha Huduma za Ajira kupanua wigo wa fursa za ajira kwa watanzania


ZRA YAVUNJA REKODI YA MAKUSANYO ZANZIBAR

ZRA YASHAURI WAHARIRI KUWAJENGEA UWELEDI WAANDISHI

ZRA YAKUSANYA BILIONI 76 OKTOBA
